Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Habari wakuu,
Eti mwanaume anaehonga ndie mwanaume rijali kwa kuwa ana sifa ya kutafuta na kutumia? Eti mwanaume anaehonga ndio mwanaume anaekonga nyoyo za kidada na kina mama kwa sana?

Je mwanaume asipohonga amepungukiwa kitu? wakuu tujadili ili tuelimishane ili kama vp na mimi nianze kuhonga.

hilo neno kuhonga linaonekana sio la heshima zaidi,pengine ungelibadili na kusema mwanamme bila kuhudumia hajakamilika?otherwise usipende kula bila kulipa
 
Binafsi sijawahi kuhonga, ila nimeumizwa kwa kutendo cha kuendelea kuwaita watoto wazuri shemeji kwa kuwa tu sihongi, ndio maana nataka ushauri, .

hahahahaha badili kwanza id yako hiyo inakuharibia ujue
 
PAPAA JIWE, si unajua jiwe ni gumu, likikupiga lazima usikilizie maumivu, kiukweli naumizwa sana na huu mfumo wa sasa hivi wa kuhonga kwani unatunyanyapaa sisi wengine.

usijipe tabu tafuta wa level yako ustake matawi ya juu wakati kukwea huwezi
 
Inategemea na type ya mademu unao fukuzia mfano mm,kabla ya kustaafu mademu zangwalikuwa watoto wa geti2 yan kazi yako kumpa mavitu ya kupagawisha dose mwanzo mwisho mpaka anataman kuhama kwao ukimkataza kuja kwa gheto Analia afu anakuonga yy mpak unaona aibu mtoto wa kiume

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ajabu nini mimi kimuhonga demu simu wakati kina Bakresa wanahonga hadi meli. Me siogopi kuitwa buzi ilimradi anaeniita awe classic. Sio unaitwa buzi na demu sura ka anakamuliwa jipu
 
Mtengwa unahonga nokia tochi au iphone 5s?

Ajabu nini mimi kimuhonga
demu simu wakati kina Bakresa wanahonga hadi meli. Me siogopi kuitwa
buzi ilimradi anaeniita awe classic. Sio unaitwa buzi na demu sura ka
anakamuliwa jipu
 
Kweli man umenifumbua macho, ila nisikimbizwe na bastola tu.

Inategemea na type ya
mademu unao fukuzia mfano mm,kabla ya kustaafu mademu zangwalikuwa
watoto wa geti2 yan kazi yako kumpa mavitu ya kupagawisha dose mwanzo
mwisho mpaka anataman kuhama kwao ukimkataza kuja kwa gheto Analia afu
anakuonga yy mpak unaona aibu mtoto wa kiume

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ajabu nini mimi kimuhonga demu simu wakati kina Bakresa wanahonga hadi meli. Me siogopi kuitwa buzi ilimradi anaeniita awe classic. Sio unaitwa buzi na demu sura ka anakamuliwa jipu

so sie wenye sura mbaya hatustahili kuhongwa
 
Nilihamia mtaa mmoja Magomeni. mwanamke wa kwanza aliye jilengesha nilimpa laki na nusu. akanitangaza nikaona mtaa mzima wananichekea. kaja wa pili nikatoa laki. wa tatu laki. baada ya mwezi nikawa nimewafyeka kumi na tatu. Nikahama uhofia waume zao wasije wakanitoa roho.

Si mchezo.
Hope ulikumbuka ndom mkuu.
 
Back
Top Bottom