Je, mwanao amefurahia kuanza masomo leo?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Hili ni swali la asubuhi hii .

Leo watoto wetu anarejea kwenye maisha yao ya awali ni siku yao ya kihistoria baada ya kukaa nyumbani kwa zaidi ya miezi mitatu.

Wengi wako na furaha sana kama mwanangu aliwamisi wenzake pele future stars primary leo wameambiwa kuwa basi la shule halitta wafuata sasa so nimempeleka amefurahi sana

Je wa kwako vipi mzazi kama mimi ?
 
future stars primary leo wameambiwa kuwa basi la shule halitta wafuata sasa so nimempeleka amefurahi sana
Mbona wewe watoto wako hawasomi shule za Magufuli unazozipigia kelele? Nyie wa kwenu mnapeleka huko wa kwetu ndio tupeleke Kajamba nani....Mshindwe. Kumbe mnapoiga kelele elimu bure elimu butre halafu wa kwenu wako private....
 
Maskini mnatabu sana .umaskini ukizidi unakuwa uchawi
 
Hili ni swali la asubuhi hii .

Leo watoto wetu anarejea kwenye maisha yao ya awali ni siku yao ya kihistoria baada ya kukaa nyumbani kwa zaidi ya miezi mitatu.

Wengi wako na furaha sana kama mwanangu aliwamisi wenzake pele future stars primary leo wameambiwa kuwa basi la shule halitta wafuata sasa so nimempeleka amefurahi sana

Je wa kwako vipi mzazi kama mimi ?

Wawili nshawapeleka, hawkuwa na shida kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Sasa shida ipo kwa huyu wa Secondary, kasema atatinga shule j3 ya tar. 6/7/2020.

Balaa
 
Maskini mnatabu sana .umaskini ukizidi unakuwa uchawi
Hahahaha heri yangu Maskini ninaejielewa! Huwezi kushinda hapa kutwa nzima unasifia shule za magufuli na Watoto wetu hawasomi huko, Kwanini!?
 
mpeleke english medium wewe
English midium kufanya nini? Mi sihitaji mtoto mvivu wala mtoto shoga..kingereza hakileti maisha mazuri kwake na bado pia atakiongea akiwa huko huko Kayumba kwa miongozo yangu mwenyewe, jua kulea watoto jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom