Je mwanamme anaweza kumkatalia mwenza wake chakula?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,534
40,159
Hili swali ambalo lilizuka katika mjadala mmoja wa wazee kijijini kwetu kwamba siyo kawaida kwa mwanamme kumkatalia mke/mpenzi wake mapenzi hasa kama mwanamke ndiye amekuwa mwanzishi. Tena mzee mmoja alisema haitakiwi kabisa kwa mwanamme kumkatalia mke/mpenzi wake haki "yake". Mwingine alisema na ninanukuu "if a man rejects his wife/lover's advances for intimacy it can be taken as an insult to the womanhood of all women worldwide".

Je ni ya kweli haya? ni kweli mume/bf wako akikukatalia utachukulia kama an insult kweli na unaweza kumfikiria vibaya sana?
 
uchoyo ni kipoaji, bila kujalisha jinsia, anaweza akakupa ugali asikupe mboga.
Mara ngapi wanawake wanafyngua mashtaka ya kunyimwa u bedroom?
 
of course; haumwi, hajachoka yaani anakatalia bila sababu, itanisumbua sana na huenda ikamuathiri mwanamke hasa ambaye hajajitambua kisaikolojia!

Bahati nzuri wanaume wengi sio rahisi kummatalia mwenzi wake kwani huona wanaweza kudharaulika hasa 'uanaume wao', unless kuwe na ugomvi. Kwa upande mwingine, mwanamke akikataa once in a while ni plus kwake, tofauti na yule anayedemand sana.
 
tatizo ni kuwa imezua ugomvi kwa sababu mwanamme kakakataa mwanamke swali lililofuata ni "are you cheating on me"..
 
Kuna vitu vinaweza kukukumba na ikalazimu ukatae penzi la beby, mfano uchovu uliopitiliza namaanisha sio kawaida labda kazi zilikuwa nyingi mno na nzito zaidi, au pia ugonjwa kwamba hujisikii vizuri na una maumivu fulani kwenye mwili...! Ila kama hamna sababu kama hzo kimaumbile ni ngumu kdogo kwa mwanaume mwenye hisia kwa mwenza wake kukataa pendekezo la penzi. Lakini pia hata kama unakataa jinsi unavyokataa ndo inaweza kuwa tusi zaidi kuliko kukataa kwenyewe...
 
Nikweli haipendezi kbs,yani mwenzio nimejiandaa kwa ajili yako then unikatalie na hakuna ugomvi na hujanipa sababu zozote kwakweli itaniumiza na sidhan km nitarudia tena kukuomba siku nyingine na utakuwa umepunguza kitu flan moyon mwangu na hata kunipa nafasi ya kuanza kukutafakari upya na hiyo safari yetu ya mahusiano!
 
Wanawake wengi ama husubiri kuanzishiwa na waume zao au hawana DRIVE ya kutosha kulianzisha hasa inapokuja kwenye mambo ya mapenzi na ikiwa mwanaume utasubiri hadi aanzishe inaweza kuchukua miaka. Huu ukweli jamii inaujua na hivyo jamii imetengeneza "taboo" arround it! Kuwa mkeo akikutaka, ukamkatalia ni vibaya sana.

Ni kweli kwa sababu jambo hili hutokea kwa nadra sana!!! Wanawake wengi wanasema mpaka "watongozwe"; hata akiwa ndani ya ndoa lazima mme afanye kitu fulani ya kubembeleza au kuonesha kuwa anataka na yuko tayari kufanya "something". Sasa kwa wanawake hawa wengi, kutokea kuwa yeye anamtaka mmewe na akaonesha hivyo ni nadra mno!! Sasa nadra ikitokea mwanaume ukaikataa, inaweza isitokee tena for life!!
 
uchoyo ni kipoaji, bila kujalisha jinsia, anaweza akakupa ugali asikupe mboga.
Mara ngapi wanawake wanafyngua mashtaka ya kunyimwa u bedroom?
cwez kufungua shitaka hilo hata cku moja na hua nawashangaa wanaofungua shitaka la hivo mm nafunga tu mlango na kumbaka kisawasawa hapo room mpaka kesho anaamkia muhimbili hoi na madrip ya maji ka 6 yanamsubiria pembeni kumeza loh!
 
Hahahhahahahahahhaahhaaaaa................umenichekesha my dia, yaani sina mbavu. Awe mumeo kimbaumbau kama mimi akiwa baunsa kama nanilii (power mabula) utafanyaje.
 
Hahahhahahahahahhaahhaaaaa................umenichekesha my dia, yaani sina mbavu. Awe mumeo kimbaumbau kama mimi akiwa baunsa kama nanilii (power mabula) utafanyaje.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndio mana napenda wembamba in any case cku akizingua unyumba mm nalazimisha tu kwa nguvu
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndio mana napenda wembamba in any case cku akizingua unyumba mm nalazimisha tu kwa nguvu

Inaoneakana hujapata ile memo inayosema "no means no". Siku hizi wanaume nao wakibakwa wanakupeleka polisi na ushahidi juu!
 
na siku hizi tumekua wajanj ukienda polisi unageuziwa mashtaka kua wewe ndo umebaka. u know who will be trusted,right?
Inaoneakana hujapata ile memo inayosema "no means no". Siku hizi wanaume nao wakibakwa wanakupeleka polisi na ushahidi juu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom