Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Je, mwanamke anayefanya mchezo huu anaweza kuacha?

Habari za jioni hii?

Natumai mko poa na Mnaendelea na majukumu yenu katika maisha. Nimekuja hapa kuomba ushauri baada ya kupata kigugumizi cha nafsi, akili na moyo. Ni hivi leo jioni hii nimemtongoza msichana mmoja ambaye tumekuwa tukifamiana kwa kipindi kama miezi mitatu sasa ambaye kwa umri ana miaka 21. Msichana huyu anaishi mazingira tata na yana shida zake , binti huyu ni mwenyeji wa tanga.

Huyu binti baada ya kumweleza yangu akakubali hasa ukizingatia alikuwa anaonyesha dalili zote kitambo tu kabla ya mimi kutupa hii ndoano rasmi leo. SASA KIZUNGUZUNGU CHA NAFSI, AKILI NA MOYO KIMEKUJA BAADA YA HUYU BINTI KUNIAMBIA KATIKA MAPENZI YEYE ANAPENDA SANA KULIWA TIGO KULIKO KUFANYA KAWAIDA JAPO KAWAIDA ANAFANYA ILA UTAMU WAKE UPO KWENYE TIGO.

Nimejaribu kumpeleleza kwa maswali na yeye amekuwa mkweli na muwazi japo mwanzo alikuwa anasita kuniambia akidai kuna watu wengine hawapendi kuambiwa ukweli na mchezo huo kauanza tangu akiwa kwao tanga na umemwathiri kisaikolojia na kihisia hasa za mapenzi. Anadai yupo tayari kuwa na mahusiano na mimi ila mtihani wake ndio huo na mimi kiukweli navutiwa nae sana na kutokea kumpenda kabla ya kujua hili jambo

Mimi binafsi sijawahi kufanya hicho kitu katika maisha yangu na wala sifikirii kukifanya kabisa katika maisha yangu.

Sasa najiuliza Mwanamke aliyezoea kufanya mtindo huu anaweza kuacha???? Natamani sana kumsaidia ili atoke katika janga hili ila nimeanza kukata tamaa.
Ushauri unaohitajika hapa ni wa kumsaidia huyu binti kumtoa katika jehanamu hii kama inawezekan na kama kuna njia na taratibu za kumsaidia.

Sihitaji matusi wala kashfa za aina yoyote
Hadithi za jecha
 
KWanza mdogo wangu nakuunga mkono kwa uamuzi wako huo wa kutopendelea vitu ambavyo hata wanyama (pamoja na kwamba hawana akili) hawafanyi. Komaa hivyo hivyo though utakutana na wengine wanakushauri other wise. Mweleze tu madhara ya hilo tendo kwa upole though I doubt kama unataka kuoa nahisi huko mbeleni anaweza kutafuta mtu anaependelea hayo mambo. Mungu akusaidie tu.
 
Mkuu Ramzy Classic, umekosea kuuliza swali. Ungekuwa sahihi kama ungemuuliza huyo umpendaye kama yupo tayari kubadilika maana ili mtu aweze kubadilika sharti yeye mwenyewe awe tayari kubadilika.
Kaka nimemuuliza na akadai anataka kubadilika ila nimegundua mara nyingi watu wa namna hii huwa hawajui jinsi ya kujibu ukiwauliza wanataka nini na huwa wanashindwa kutofautisha baina ya mahitaji ya msingi na matamanio yao. Nimemuhoji kwa kirefu na akadai yupo tayari kubadilika ila nahisi napigana vita ambayo siwezi kushinda and its best I i drop Off
 
KWanza mdogo wangu nakuunga mkono kwa uamuzi wako huo wa kutopendelea vitu ambavyo hata wanyama (pamoja na kwamba hawana akili) hawafanyi. Komaa hivyo hivyo though utakutana na wengine wanakushauri other wise. Mweleze tu madhara ya hilo tendo kwa upole though I doubt kama unataka kuoa nahisi huko mbeleni anaweza kutafuta mtu anaependelea hayo mambo. Mungu akusaidie tu.
Thanks kwa support yako, but frankly speaking hata hamu ya kutaka tena mahusiano nae imeshanitoka.
 
Binafsi yangu mimi siwezi kufanya mahusiano na mtu anaeliwa kiboga, simtaki hata kumsikia, ningelala mbele kimyakimya na kamwe asingekaa anione tena ktk maisha yake. Atafute wala tigo wenzie, ptuuuuuuuuuuuu
 
Uache uongo.....urushe ndoano Leo, na leo hiyohiyo binti afunguke vyote hivyo......wakati mwingine muwe mnaleta stori zenye uhalisia kidogo. Hujui hata kudanganya
 
Kama na prof ndumila kuwili amekushauri kuacha basi achana nae
 
Uache uongo.....urushe ndoano Leo, na leo hiyohiyo binti afunguke vyote hivyo......wakati mwingine muwe mnaleta stori zenye uhalisia kidogo. Hujui hata kudanganya
tumekuwa tukifahamiana kwa miezi mitatu sasa na nimekuwa nikimshauri katika baadhi ya mambo yanayomsumbua
 
Uache uongo.....urushe ndoano Leo, na leo hiyohiyo binti afunguke vyote hivyo......wakati mwingine muwe mnaleta stori zenye uhalisia kidogo. Hujui hata kudanganya
soma kwanza ili usikurupuke kujibu, nowadays people are free to do and say what they feel, kuna wanawake huwa hawaogopi kusema chochote wanachojiskia bila kujali utalipokeaje hilo analoliongea.
 
Hako katabia kameshakolea cku hzi,hamna cha mwambao wala bara...huyo mdada inaonekana kakupenda kwel,ndo mana kafunguka mapema,,,We mwambie unampenda ila haupo tayari kuendeleza uharibifu huo...Eleza madhara ya kiafya zaidi badala ya kidini...Jitahidi japo inaonekana mrembo ana mitego ya kutosha.
Hongera kwa kusimamia maadili ya dini yako,,,Mungu akujalie umpate wa kuendana naye
 
Thanks
 
Wanawake wakishaanza huo mchezo, ni vigumu sana kuacha!

Inasemekana huwa wanawashwa, ni kama madawa ya kulevya vile!
 
Back
Top Bottom