Je, mwanafunzi anayesoma EGM ni rahisi kufaulu?

Je, mwanafunzi anayesoma EGM ni rahisi kufaulu?

Kwanini umeuliza hivyo Mkuu?

Kama watu wamesoma PCM na PCB na wamefauru ndiyo washindwe kufauru hiyo EGM

Muhimu huyo Mwanafunzi asome kwa bidii na asisahau kuwa anasali.
 
Watu wanatoboa PCM,PCB,PGM
sembuse hizo comb za mademu
 
Watu wanatoboa PCM,PCB,PGM
sembuse hizo comb za mademu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii nchi uhuru umezidi sanaaa! Kuna waziri wa wizara moja hiv nilitaka nimtag hapa lakini nimeghairisha, angeiona hii comment angefedheheka sana maana na yeye ni muhanga.
 
Wewe tayari umeshafeli. Tafuta kitu kingine cha kufanya kabla hujachelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom