Je, mwaka 2045 Tanzania inaweza kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote Afrika?

Ujenzi wa Viwanda unaondelea kwa kasi, Miundo mbinu na uwekezaji kasi katika Elimu na nyanja mbalimbali, hatuna Mpinzani tutaipita South Africa, Nigeria, Egypt, Kenya
Naiona Tanzania kiranja mkuu wa Africa.
Licha ya kufikia 2045 tuangalie kwanza Tanzania Development Vision of 2025 mkakati ambao lengo lake ni kuhakikisha Tanzania inakuwa nchi ya viwanda na yenye kipato cha kati itakapokuwa imefika 2025.
Je, ni kweli tutaweza kufikia lengo?
Kama lengo litafikiwa basi tunaweza tukapiga hatua na tukawa nchi miongoni mwa nchi zenye uchumi imara Afrika
 
Ujenzi wa Viwanda unaondelea kwa kasi, Miundo mbinu na uwekezaji kasi katika Elimu na nyanja mbalimbali, hatuna Mpinzani tutaipita South Africa, Nigeria, Egypt, Kenya
Naiona Tanzania kiranja mkuu wa Africa.
mkuu hayo ni maono ambayo yanatekelezeka kwa kasi hii tunayoenda nayo hakika tz chini ya ccm itakuwa kiranja wa maendeleo africa
 
mkuu hayo ni maono ambayo yanatekelezeka kwa kasi hii tunayoenda nayo hakika tz chini ya ccm itakuwa kiranja wa maendeleo africa
Jambo ambalo limeanza kunikatisha tamaa ni jinsi serikali inavyofanya kazi zake kuwaumiza wazawa wenye makampuni na biashara mbalimbali
 
Back
Top Bottom