Je, mwaisikia sifa zake ? "Senene vitamin tupu"

Je, mwaisikia sifa zake ? "Senene vitamin tupu"

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
13,996
Reaction score
15,120
Chakula hii ni natural crispy na Ladha yake ni taamu !! Sijui inapatikana wapi ready for export.
images
 
Mhhhh!!! Nasikia eti watamu but mimi siwaoni tofauti na panzi wa kawaida, kama ninavyofananisha kumbi kumbi na mende, siwezi kuwala wadudu hawa.
 
Mhhhh!!! Nasikia eti watamu but mimi siwaoni tofauti na panzi wa kawaida, kama ninavyofananisha kumbi kumbi na mende, siwezi kuwala wadudu hawa.
No No Mamanzara, Jaribu utaona ladha na utaamu wake maana siku hizi wanapikwa kwa Oil steam pressure!! wakisha iva huwa kavu na kama crispy crunchy!! mmmmh !
 
Mhhhh!!! Nasikia eti watamu but mimi siwaoni tofauti na panzi wa kawaida, kama ninavyofananisha kumbi kumbi na mende, siwezi kuwala wadudu hawa.

ukiwakuta wametengezwa hujui kama senene.
Mimi siku ya kwanza kula uroho wangu nkawakuta kwa bakuli nikajua uduvi umetoka dar watam balaa nasifia kumbe wananichora.
Baadae wakaniambia senene ndo mwanzo wa kuwala watam sana.
Sasa hivi nakula balaa na ukinyima nakuibia.
 
Hao wadudu nyie sikieni tuu kwa utamu mara ya kwanza kuwala nilikuwa nimekwenda Bukoba kutembelea ndugu na jamaa,kule wanapatikana all season yote utawapata ,niliwajaribu baada ya kuona wanaliwa pale nyumbani kwa nyanya wangu nilipojaribu ilikuwa ndio mwisho wa kula mboga ya aina nyingine pale kwa grands wangu.Ukienda Uganda wao huwaita Isenene,na ukienda mitaa kama vile nchi ya Malaysia na Indonesia utawakuta ndani ya super market zao nasikia wanapelekwa toke Africa Kusini.M/Mpamba.
 
Hapana, PANZI - na ule uchafu wake mweusi pale kati - SIWEZI, hata atengenezejwe, labda nisijue kama ni senene.
 
Back
Top Bottom