asante mkuu ni kweli inahitaji ganzi swali linakuja unapotiwa ganzi ukatolewa kiungo chako kimoja bila kujua ni kosa?Ok. Nami nimejaribu kufananisha hiyo scenario na Protocal za Hspitali (Theater)kwa maana ya kufanya jambo kwa utaratibu bila madhara.
Sikuwa ninatoa jibu la swali.
if it doesn't cause any harm, its the right thing thing to doDoing bad thing in a good way doesnt make it right.
hakikaUpweke ndo ulikuwa unamsumbua jamaa
duh! Tuna force tuonekane et na sisi tuna akili kuliko aliyetuumba!ni kweli mkubwa tunavyowaza sio kama M-ngu hili swali niliulizwa na mtu nilipomwambia kuiba ni dhambi
chungu hakiwezi kumzidi akili mfinyazi wakeduh! Tuna force tuonekane et na sisi tuna akili kuliko aliyetuumba!
Sasa asume angemnyimba ingekuaje? MkuuM/Mungu angemuomba Adamu Ubavu mmoja asigempa mpaka amwibie?
aaaah kusigekuwa na uzizi wala uasheratiSasa asume angemnyimba ingekuaje? Mkuu
na kinyago ulicho kichonga hakiwezi kukutisha...chungu hakiwezi kumzidi akili mfinyazi wake
kuna vingine unaweza kuvichongea gizani ukaja kuviagalia kwenye mwanga vinatishana kinyago ulicho kichonga hakiwezi kukutisha...
sasa hapo unachonga au unacheza, maana lazima ujue unachochonga kiweje.kuna vingine unaweza kuvichongea gizani ukaja kuviagalia kwenye mwanga vinatisha
unaweza kujua kitakavyokuwa ila akaja mwingine akakibadili kikakutishasasa hapo unachonga au unacheza, maana lazima ujue unachochonga kiweje.
Utaratibu unadai uwe umetia saini fomu ya Kibali. (Najua hapo utanikamata )asante mkuu ni kweli inahitaji ganzi swali linakuja unapotiwa ganzi ukatolewa kiungo chako kimoja bila kujua ni kosa?
ngoja nifanye kama vile majibu yote ninayoUtaratibu unadai uwe umetia saini fomu ya Kibali. (Najua hapo utanikamata )
Poa mkuu.ngoja nifanye kama vile majibu yote ninayo
A bad thing cant be good in anyway, by the way it eventually caused harm to Adam and all of Adam descendatsif it doesn't cause any harm, its the right thing thing to do