Je, MUNGU ni mwizi?

Je, MUNGU ni mwizi?

hakuwepo ila alipokea mafunuo kutoka kwa MUNGU

Hayo ni maoni yako lakini , Biblia ya NIV imeandika hivi :-

Kitabu cha Mwanzo (Genesis):

"Kihistoria, Wayahudi na Wakristo kwa pamoja wameamini kwamba Musa ndiye aliyekuwa mwandishi au mkusanyaji wa vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale. Vitabu hivi, vinavyojulikana pia kama Pentateuko (yaani, 'kitabu chenye juzuu tano'), vilijulikana katika mapokeo ya Kiyahudi kama sehemu tano za Sheria (ya Musa). Biblia yenyewe inaashiria kwamba Kitabu cha Mwanzo kilihusishwa na Musa, kwa kuwa Matendo 15:1 kinarejelea tohara kama 'desturi aliyofundisha Musa,' jambo linaloashiria Mwanzo 17. Hata hivyo, kuna dalili kwamba baadhi ya marekebisho ya baadaye ya uhariri yalifanywa (tazama, kwa mfano, maelezo kuhusu Mwanzo 14:14; 36:31; na 47:11)."

(kutoka The NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 2.)

Kwa hiyo, kwa uhalisia, Kitabu cha Mwanzo kiliingiliwa na mikono ya wanadamu. Kiliharibiwa (kilipotoshwa). Kwa hivyo, ni hatari kukichukulia chote kuwa ni Maneno ya Kweli na Hai ya Mungu Mwenyezi, kwa sababu kufanya hivyo kunaweza kutupelekea kutenda kosa dhidi ya Mungu kwa kudai kwamba alisema maneno ambayo hakuyasema kamwe.
 
Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?

Swali lako linategemea simulizi la Kitabu cha Mwanzo. Kulingana na simulizi hilo, Mungu hakumuibia Adamu ubavu wake.

Kwanza, kila kitu ni mali ya Mungu, ikiwemo Adamu mwenyewe. Pili, Mwanzo 2:21–22 unasema Mungu alimlaza Adamu usingizi mzito, akachukua ubavu mmoja na kutokana nao akamfanya Hawa kuwa msaidizi wake. Hakuna sehemu inayosema Adamu alipinga au kwamba Mungu alifanya kitendo hicho kwa dhuluma.

Kwa hiyo, hata kwa mujibu wa Biblia, kitendo hicho hakiwezi kuitwa wizi, kwa sababu wizi ni kuchukua mali ya mwingine bila haki au ruhusa. Kwa simulizi hilo, Mungu ndiye Muumba wa Adamu na alifanya hivyo kwa kusudi la kumuumba mwenzi wake.

Kama mtu haamini simulizi hilo, anaweza kulikosoa au kulihoji, lakini kuliita "wizi" si matumizi sahihi ya neno hilo hata kwa mujibu wa simulizi lenyewe
 
Asante kwa elimu hii
Hayo ni maoni yako lakini , Biblia ya NIV imeandika hivi :-

Kitabu cha Mwanzo (Genesis):

"Kihistoria, Wayahudi na Wakristo kwa pamoja wameamini kwamba Musa ndiye aliyekuwa mwandishi au mkusanyaji wa vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale. Vitabu hivi, vinavyojulikana pia kama Pentateuko (yaani, 'kitabu chenye juzuu tano'), vilijulikana katika mapokeo ya Kiyahudi kama sehemu tano za Sheria (ya Musa). Biblia yenyewe inaashiria kwamba Kitabu cha Mwanzo kilihusishwa na Musa, kwa kuwa Matendo 15:1 kinarejelea tohara kama 'desturi aliyofundisha Musa,' jambo linaloashiria Mwanzo 17. Hata hivyo, kuna dalili kwamba baadhi ya marekebisho ya baadaye ya uhariri yalifanywa (tazama, kwa mfano, maelezo kuhusu Mwanzo 14:14; 36:31; na 47:11)."

(kutoka The NIV Bible Commentary [1], ukurasa wa 2.)
 
Swali lako linategemea simulizi la Kitabu cha Mwanzo. Kulingana na simulizi hilo, Mungu hakumuibia Adamu ubavu wake.

Kwanza, kila kitu ni mali ya Mungu, ikiwemo Adamu mwenyewe. Pili, Mwanzo 2:21–22 unasema Mungu alimlaza Adamu usingizi mzito, akachukua ubavu mmoja na kutokana nao akamfanya Hawa kuwa msaidizi wake. Hakuna sehemu inayosema Adamu alipinga au kwamba Mungu alifanya kitendo hicho kwa dhuluma.

Kwa hiyo, hata kwa mujibu wa Biblia, kitendo hicho hakiwezi kuitwa wizi, kwa sababu wizi ni kuchukua mali ya mwingine bila haki au ruhusa. Kwa simulizi hilo, Mungu ndiye Muumba wa Adamu na alifanya hivyo kwa kusudi la kumuumba mwenzi wake.

Kama mtu haamini simulizi hilo, anaweza kulikosoa au kulihoji, lakini kuliita "wizi" si matumizi sahihi ya neno hilo hata kwa mujibu wa simulizi lenyewe
ni kweli na asante kwa kunifungua ufahamu
 
Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
1.Hivi kule Hospitali wakitaka kuondoa kiungo,tumor au kupandikiza chochote mwilini mwako huwa wanafanya bila ganzi au inakuwa ni kama yule "jamaa" aliyesema watatutahiri bila ganzi?
2.Mbona maandiko yanasema ..".akatawaa" .... Kwani mwandishi kilimshinda nini kuandika akamwibia?
NB: Kitabu kilichorejelewa hapo (Biblia) sio kitabu cha kusoma kama Hekaya za Abunuwasi.
 
kumbuka hilo ni swali rejea neno "je" inafaa kujibu sio kuprove kama nimesema ni kwel
 
Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
Mkuu unamaanisha hii tabia ya vibaka kupulizia watu dawa za usingizi mzito majumbani na kisha kuwaibia muasisi ni Sir. God?!😂
 
Mwanzo2:21
(Bwana mungu akamletea adamu usingizi mzito, naye akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake)
Hivi Mungu agemuomba adamu ubavu mmoja asigempa mpaka amwibie?
Kwa uwezo aliokuwa nao kulikuwa na hajagani yakumtoa ubavu adam?! Si angesema tu neno na akatokea Hawa.Vitu vingine vyote aliumba kwa neno Adam tu ndo akamfinyangafinyanga kwa udogo😁
 
kumbuka hilo ni swali rejea neno "je" inafaa kujibu sio kuprove kama nimesema ni kwel
Ok. Nami nimejaribu kufananisha hiyo scenario na Protocal za Hspitali (Theater)kwa maana ya kufanya jambo kwa utaratibu bila madhara.
Sikuwa ninatoa jibu la swali.
 
Kwa uwezo aliokuwa nao kulikuwa na hajagani yakumtoa ubavu adam?! Si angesema tu neno na akatokea Hawa.Vitu vingine vyote aliumba kwa neno Adam tu ndo akamfinyangafinyanga kwa udogo
kwani M-ngu alimkuta adamu anafanya nin mpaka kusema siyo vyema kuwa peke yake?
 
Eh! hii nayo kali... Umetisha Matunzo 02
Ndiyo maana MUNGU anasema "mawazo yangu si mawazo yenu wala njia zangu si njia zenu"
ISAYA 55:8,9
ni kweli mkubwa tunavyowaza sio kama M-ngu hili swali niliulizwa na mtu nilipomwambia kuiba ni dhambi
 
Back
Top Bottom