Kwani hujasikia watu fulani wakisema nikisimama tu ni mungu kasimama?Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Wewe unafanana na nani?Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Hujajibu swali. Mungu ana sura ya rangi gani kati ya hizi 'race' za dunia hii?Mwanzo 1:27-28
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mtu mweusi, au at least aliye ishi afrikaHuyo common ancestry ni 'race' ipi?
Baba,mama,mjomba?Sifanani na mtu.
Jibu ni evolution
Binadamu wotee tumetokea kwa common ancestry lakini tukawa tuna badilika kutoka na mazingira na natural selecton
Huyu alietoa hii kauli yeye alikuwa wapi wakati Mungu anaumba?Mwanzo 1:27-28
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Mungu hajamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Huyu mwanadamu wa leo anayehalalisha ushoga? Huyu mwanadamu wa leo ambaye anaigiza filamu za ngono huku wakimlawiti mwanamke, mwanadamu huyu anayefanya unafiki katika ardhi ya Mwenyezi Mungu ndio awe mfano wa Mungu. Nimekataa. Hilo andiko linahitajika kifutwaMungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Mungu hana mfano na hana sura.Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Upo nje ya mada ndugu.Mungu hajamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Huyu mwanadamu wa leo anayehalalisha ushoga? Huyu mwanadamu wa leo ambaye anaigiza filamu za ngono huku wakimlawiti mwanamke, mwanadamu huyu anayefanya unafiki katika ardhi ya Mwenyezi Mungu ndio awe mfano wa Mungu. Nimekataa. Hilo andiko linahitajika kifutwa
Nimekuja kasi nimwambie kama hiviKwani hujasikia watu fulani wakisema nikisimama tu ni mungu kasimama?