FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,874
- 46,979
- Thread starter
-
- #21
Mimi sijakataa, hapo kabla ya kabla, ambapo alikuwa hajaumba chochote, ndio alikuwa wapi? Au hapo alipokuwepo paliumbwa na nani? Maana alikuwa hajaumba kitu bado. Pia hatumpo specific location, tunaulizia generality ya uwepo wake, hata kama ni yupo sehemu zote mida wote, kabla hajaumba kitu, ni wapi alikiwepo, na hapo alipokuwepo , paliumbwa na nani wakati alikuwa hajaumba kitu bado?MUNGU alikuwaepo kabla ya hiyo ''Kabla'' kuwepo. Pili MUNGU hana nafasi kwa hivyo huwezi kumpa specific location, ukimpa specific location tayari umeshamlimit. MUNGU ni mmoja hagawanyiki, yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kila jambo, hana mshirika katika utendaji wake, hana mwanzo wala hana mwisho,, hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wowote na pia hafananishwi na chochote.
Nani kasema Mungu hayupo? Mbona mnakuwa na biased (subjective) thinking namna hiyo? Wapi nimesema hayupo, nionyesheKama una hoja zingine zinazo thibitisha kutokuwepo kwa MUNGU zilete, tutakujibu kwa kadiri ya uwezo.
Si mmesema ni beyond comprehension? Sasa inakuwaje tena unataka nimfahamu? Kikubwa swali ndio nimeuliza hilo, nipate majibuKabla ya kuuliza alikuwa wapi unamfahamu huyo Mungu mwenyewe ni nani?
Yupo kila mahali, kwa mujibu wa vitabu vya dini.Sasa hivi M/MUNGU yupo wapi? Kwa mujibu wa Nani?
Yupo kila mahali, kwa mujibu wa vitabu vya dini.
Mungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
Mungu anasehemu yake na Viumbe wake wanasehemu yake ya Kuishi.Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Kwahiyo Kama Hana Mshirika Maana Yake Hawa Manabii na Mitume wote ni Waongo.MUNGU alikuwaepo kabla ya hiyo ''Kabla'' kuwepo. Pili MUNGU hana nafasi kwa hivyo huwezi kumpa specific location, ukimpa specific location tayari umeshamlimit. MUNGU ni mmoja hagawanyiki, yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kila jambo, hana mshirika katika utendaji wake, hana mwanzo wala hana mwisho,, hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wowote na pia hafananishwi na chochote.
Kwahiyo Kama Hana Mshirika Maana Yake Hawa Manabii na Mitume wote ni Waongo.
Kuanzia Kina Musa..Elia..Yesu.. Mohamedi wote hawa Hana Ushirika nao
Niambie maana Labda mimi Najua Tofauti ya Mshirika.Unajua maana ya mshirika?
Hongera broo kwa uwezo wako mkubwa wa kufikiria kuwaMungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
Niambie maana Labda mimi Najua Tofauti ya Mshirika.
Kwahiyo kama Anafanya Kazi Yeye Mwenyewe Ana haja Gani ya Kuwa na Wafanyakazi.Mfano kwenye biashara unapokuwa na Shea oda mwenzio huyo ni mshirika.
Ila wafanyakazi wako HAO sio WASHIRIKA.
NDIVYO ilivyo kwa Mungu Hana washirika.anafanya Mambo yake MWENYEWE
Kwahiyo kama Anafanya Kazi Yeye Mwenyewe Ana haja Gani ya Kuwa na Wafanyakazi.
Kama Mungu ni Muweza wa Yote Hana Haja Ya Kuwa na Wafanyakazi wa aina Yeyote
Mie niliuliza Kuhusu hawa Manabii na Mitume,wapi Mungu amesema anawafanya kazi?
Mie niliuliza Kuhusu hawa Manabii na Mitume,
Musa...Elia..Yesu.. Mohammed
Je ni Waongo na Hawakutumwa na Mungu. Ndio ukasema Hapo Juu hao si Washirika ila Ni wafanyakazi. Au nimekuquote Vibaya!?