Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
5,537
Reaction score
13,847
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.

Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?

Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.

El perdode
 
sema swali ni zuri sana,, ila ngoja wajuvi waje wakujibu
 
Ni kweli kunadhana ya siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja lakini katika uumbaji utengano wa siku ulifanywa mapema kwakuumba mianga miwili yaani jua na mwezi, hivyo dhana ya miaka elfu sita si sahihi kwa muktadha huo.
 
Hizo "siku" sita ni nyakati sita.

Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.

Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.

Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
 
Sasa mkuu biblia inaposema Mungu alipumzika siku ya saba ina maana gani? Maana kulingana na maelezo yako umekataa

Mkuu mbona biblia inaonesha kwamba siku ya nne ndo Mungu aliumba mianga mikuu miwili yaani jua na mwezi pia ndo ishara ya kuonesha vipindi mbalimbali,miaka na siku je kabla ya kuumbwa kwa vitu hivyo hizo siku zilikuwa zinahesabiwa vipi?wakati Mungu kakiri kuwa ndo vitu muhimu katika kuhesabu siku na miaka
 
Sasa mkuu biblia inaposema Mungu alipumzika siku ya saba ina maana gani? Maana kulingana na maelezo yako umekataa

Nimefafanua nini maana ya kupumzika inapozungumziwa juu ya Mungu. Kumbuka Mungu huwa hachoki, hii inafanana na jinsi inavyosemwa kwamba Eva alitolewa ubavuni mwa Adam, hapa watu wanadhani kwamba kweli Eva alitokea ubavuni kwa Adam kidhahiri, mtu kutoka katika ubavu wa mtu mwingine ni tamathali ya maneno na hasa inapohusikana na Mwanaume na mwanamke maana yake ni wawili wanaopendana na wanashabihiana kitabia

sio maana yake kwamba kweli huyo mmoja alitokea kidhahiri ubavuni kwa mwingine ambapo ni dhana ya kijinga, mfano katika kiingereza kuna msemo:- we are both made out of the same wood, yaani: sote wawili tumeundwa kutokana na mbao moja, huu msemo tafsiri yake ni hii kwamba watu hao wawili wanazo sifa, tabia na mienendo inayofanana na sio kwamba wameundwa kutoka katika ubao mmoja.

Na hivyo ndivyo inaposemwa kwamba Mungu "alipumzika" neno hilo lahitaji tafsiri, na hii ni kwa baadhi ya maneno mengi ya kiroho kwamba yanahitaji tafsiri.
 
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.

Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?

Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.

El perdode

Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.

Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?

Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.

El perdode
Kuna jamaa walimodify biblia kwa kutumia akilizao nyingi ndo maana tunaona mkanganyiko huu..biblia sio takatifu bali ni TAKA...tifu .....nakumbuka naanza kuisoma mwanzo : mungu aliumba usiku na mchana na nuru...baada ya siku kadhaa likaumbwa Jua ..sasa usiku na mchana utaanza vip haliyakuwa jua halijaumbwa bado..?

Ok tukija ktk swali la kuhusu muda kuhusu mudaaa ...yaani time ..isikuumize kichwa muda ni kiumbe kimeumbwa kama viumbe vyengine ..ndo maana mungu hana mwanzo wala mwisho alikuwepo kabla ya kuumba muda

Kidunia dunia (sayansi) time is relative nzi ataishi siku saba kama miaka sabini na ataona ni muda mwingi kweli kweli siku unavyiona wewe ni tofauti na mwengine.
Elf iliotajwa ktika hiyo bible ni maana nyingi ni kama utakavyo sema matrilion kwa sasa
 
Mbingu nazo ziliumbwa according to Bible.
Mungu hakai mbinguni , kama anakaa mbinguni je, kabla ya kuziumba alikuwa anaishi wapi?
Je, tukubali kuwa alihamisha makazi alipokuwa anaishi na kuhamia mbinguni?
Nakupa challenge tu hapa ili ufahamu wako uondoe dhana ya kusema Mungu anaishi mbinguni.
 
Mkuu nimeelewa vizuri sana swali lako ila Mimi sijasema kwamba Mungu anaishi mbinguni bali ni biblia yenyewe ndo imesema hivyo
 
Mambo ya Imani too complicated ukitaka ujue kila kitu, maana utakosa majibu sahihi ya vyote

Acha nishike tu amri za Mungu na kanisa basi mengine namwachia karisali

Maana ukianza Adamu waliumbwa pamoja na lilith kwa udongo wote, badae akaja kumbiwa mlengevu Hawa.
 
Mambo ya Imani too complicated ukitaka ujue kila kitu, maana utakosa majibu sahihi ya vyote

Acha nishike tu amri za Mungu na kanisa basi mengine namwachia karisali
Mkuu sasa utakuwa vipi na imani juu ya jambo fulani wakati hujui msingi wake?
 
Back
Top Bottom