- Thread starter
- #21
Kwahiyo mkuu mwanamke amesaidia sana kuuleta Uislam dunian!? Kumbe mtume mwenyewe alishasema ni shetani.!?alipofika kwa mkewe, alimwambia kuwa ametokewa na shetwani aliyembana koo, mkewe alivyomwona ana hofu ndipo alipompeleka kwa binamu yake