Wanawake mnateteana kwa sababu mnayajua madhambi yenu.Kitakachouua wewe ni mkeo, mume aliyezaa naye na huyo mtoto wa kambo.
Mtoto msomeshe hujui kesho yake.
Mali hauondoki nazo, wagawie watoto wote sawa,
Mkeo naye ana haki hata kama alivikuta, si anakupikia, kukufulia, kuzaa, kukuandalia hata maji uoge, naye mgawie.
Ila, ikitokea umetangulia kufa hao wanao wako taabuni.
Hakuna mtoto mbaya kuliko mtoto wa kambo japo siyo wote...
Sitemi mate tena ngoja niyameze kabisa ndo niongee...ni hiviii sioi singo maza never on earth ,huyo Mke mwema inaambatana na kutokua singo mazaTema mate chini !
Haya mambo hayako hivyo. No vile kuta zina siri nyingi.
Omba Mungu akupatie mke mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Itapendeza kama wanasheria watatupa michango yao katika hili. Sema kwa uelewa wangu ni unaweza kurithi au la, matokeo yatatokana na mkataba wenu Wa ndoa( Pre nup).
Kumbe hata mwanaume ana haki na Mali alizotafuta mwanamke baada ya ndoa ,so mkiachana mnagawana zoteSheria ya ndoa ina ruhusu wanandoa kumiliki mali binafsi.kwa mfano kabla ya ndo mwanandoa alikuwa na nyumba yake hiyo haitabadilika na kuwa mali ya wote pindi watakapofunga ndoa!ila mali zilizotafutwa baada ya ndoa zitahesabika kama mali za wote!...
Vipi ambazo kazipata tukiwa nae ndoaniHuwezi kuwa na haki nazo mkuu kwa maana sheria ya ndo ina ruhusu umiliki wa mali binafsi kabla ya kufunga ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yupi? Baba mzazi hajawahi toaHapa naona mmpeana majibu kiaina,japo hujasema kama jamaa anatoa matunzo.
Vunjeni ukimya muongee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ngoja nichomekee kiswali, umesema mtoto wa kambo atarithi kwa mama yake. je mfano x, mama yake kaolewa na k. akazaliwa z so, x ni mtoto wa kambo kwa k, bahati mbaya mama yake x kafariki, na z pia kafariki. je huyu x atawezaje kudai urithi kwa bwana k?Hivi siku hizi akili zinauzwa ghali sana kiasi kwamba wengine tunashindwa kununua? Mbona majibu yako wazi?!!! Mtoto wa kambo anamrithi MAMA YAKE MZAZI na sio baba wa kambo. Sehemu ya urithi atakayopata mama ndiyo atamgawia mwanaye huyo...
Sawa kila la heriSitemi mate tena ngoja niyameze kabisa ndo niongee...ni hiviii sioi singo maza never on earth ,huyo Mke mwema inaambatana na kutokua singo maza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni, mimi siwezi kabisa, nikigundua anawasiliana na x biashara imekwisha.Najibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu...
Sheria za mirathi ni copy and paste za sheria za India..
So mtoto wa nje hapati urithi unless familia imeridhia
Pole sana mkuuNajibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu...
Ukitaka asiwasiliane nae timiza majukumu. Mimi siwasiliani nae bali mtoto mwenyewe ndo ana wasiliana na baba yake.Hongereni, mimi siwezi kabisa, nikigundua anawasiliana na x biashara imekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Najibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu.
Kuhusu mtoto wa kambo subiri wanasheria wabobezi waje. Ila mtoto kufahamu baba yake mzazi ni Jambo la kheri..sema bidada kakiuka makubaliano yenu...
Unajua kuishi na wabishiHakuna sehemu nimekataa mkuu, Mimi siifahamu sheria vizuri so kama ipo hivyo mimi ni nani nipinge? Sheria ifuatwe sina tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
We normally invest!Umeongea deep sana mkuu,na pole pia
Japo kwenye kusomesha mtoto kwa ajili ya wew kufaidi kesho yake(sorry kama nimeelewa tofauti and correct me if am wrong),sikubaliane na wewe sana,kama umeamua/unasomesha mtoto wako au asiye wako..fanya kama wajibu with no expectation of the kid's future
Sent using Jamii Forums mobile app