Hapana ni tatics zao mafioso wa CCM kujaribu kuthibitisha methali ya If you cant beat them, love/ join them.
Pia ile kashfa ya Mhariri mtendaji wao kuwa kinara wa kampeni za ccm na onyo walilotoa MCT kuhusu unazi wa wanahabari naamini kuna kitu wameambizana majambazi hawa kwamba tulegeze mwendo kwa sasa kisha soon our true colors will emerge.
Shetani hawezi kuongoka, sana sana atajifananisha na malaika wa nuru
mkuu hapo tambua namna sumu ya ccm ilivyowadumaza na kuwapofua watanzania.Ila ipo kazi bado watanzania wengi kuelimika . . .
Asubuhi nilikuwa naongea na sister wangu moja na jirani yake, bado wanaamini CHADEMA ni watu wa vurugu na watavuruga amani. Nilipowadodosa hawana hoja ila tu wao wanaona bora CCM pamoja na kuwa wanajua nini Slaa kafanya.
Bado CHADEMA wanayo kazi ngumu ya kuwashawishi watu kama hawa waelewe.
kushoto hapo kwenye gazeti wameandika BOB MAKANI ADONDOKA JUKWAANI DAR...!
Sipati picha imekuwaje leo Mtanzania linawafagilia Chadema kiasi hiki ambacho si cha kawaida?
Pata udondozi wa Kichwa Kikuu Cha Habari:
KAMPENI SI MCHEZO
Dk. Slaa Naye "Afunika"
- Ataanza kushughulikia Uzalendo
- Akosoa Sera ya CCM ya Kilimo Kwanza
- Aahidi Kupandisha Kima Cha Chini Hadi Sh. 350,000/=
.
Lazima kutakuwa na namna, si kawaida? ama wameadabishwa na Umati wa Jana hasa baada ya Marina kuponea Kipigo?
mkuu hapo tambua namna sumu ya ccm ilivyowadumaza na kuwapofua watanzania.
Watanzania wapo radhi watoto wao wawe manamba baada ya kukosa elimu bora ilimuradi wamtumikie baniani mbaya. kaaaz kweli kweli.
Jana nilikutana na kanali mmoja mstaafu (mzee) anaiponda chadema akisema kuwa hawana lolote zaidi ya kukosoa tu. Nadhani kuna tatizo ktk mfumo wa elimu nchini kuanzia ngazi ya chini mpaka elimu ya juu.
Ishu kubwa ipo kwa akina mama wengi wao wanaogopa mabadiliko na ni wanachama na wapeleka habari wakubwa wa CCM (sio wote lakini wako majemedari humo). Na nimekuja kugundua kikubwa kinachowafanya wasibadilike mtazamo ni woga kwamba vurugu ikitokea Tanzania watoto wao, waume zao au wanaume zao na ndugu zao watadhuriwa. Kazi bado ipo sana kuwaelemisha kwani katika itikadi za kisiasa ni mtazamo na sio vita na tofautiano za kimtazamo haimaanishi sie ni maadui.
kushoto hapo kwenye gazeti wameandika BOB MAKANI ADONDOKA JUKWAANI DAR...!
mtu66
nimeshawishika kukubaliana na hoja yako
wahuni hawa
Nadhani kuna tatizo ktk mfumo wa elimu nchini kuanzia ngazi ya chini mpaka elimu ya juu.
Nadhani ni vyema tukiomba ufafanuzi kuwa mjumbe huyu anachaguliwa kwa kupitia njia zipi? Kama anachaguliwa ndani ya chama basi tuna kila haki kusema kuwa mjumbe wa nyumba kumi hawezi kuwa official wa serikali... nadhani ni vyema kuanzisha thread nyingine ili tuichambue mada hii vizuri.Unajua mfumo wa CCM wa kuwa na balozi wa nyumba kumi umeimarika sana. Katika mitaa tunayoishi, ikitokea issue katika mtaa inayoitaji ufumbuzi lazima watu waende kwa "Mjumbe" na huyu Mjumbe happens kuwa wa CCM. Imekuwa kana kwamba hawa ni viongozi wa Mtaa.
Ukienda Bbaadhi ya enki au Polisi katika issues mbali mbali, lazima utaje kwanza Mjumbe wako ni nani ili mambo mengine yaendelee.
Nadhani ni vyema tukiomba ufafanuzi kuwa mjumbe huyu anachaguliwa kwa kupitia njia zipi? Kama anachaguliwa ndani ya chama basi tuna kila haki kusema kuwa mjumbe wa nyumba kumi hawezi kuwa official wa serikali... nadhani ni vyema kuanzisha thread nyingine ili tuichambue mada hii vizuri.
Hili gazeti nasikia haliuzi zaidi ya kopi 2,000 kwa sikuWashenzi hawa usishangae wakatoa copy chache tu ....Check kama limefika mikoa yote