Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 288
- 502
Steve jobs aliyekuwa CEO wa apple inc alikuwa na msimamo mkali kwa android ambao ungeipeleka OS hiyo ya google kusuasua.
Kama ulikuwa ufahamu kuhusu vita hii basi ilikuwa hivi. Steve Jobs alipania kuiangusha OS ya android (OS ya wanyonge) hata kama ingeigharimu apple kiasi cha pesa zao zote zilizopo benki wakati huo.
Jobs alidai kuwa google walikopi feature za ios kuunda android os. Hapa mwandishi Walter Isaacson alimnukuu jobs akisema.
"I'm going to destroy Android, because it's a stolen product. I'm willing to go thermonuclear war on this."
Kiswahili
"Naenda kuiharibu android, Sababu ni bidhaa iliyoibiwa, nipo tayari kuanzisha vita ya thermonuclear kwenye hili"
Steve anaendelea,
"I will spend my last dying breath if I need to, and I will spend every penny of Apple's $40 billion [£25bn] in the bank, to right this wrong."
Ikumbukwe kuwa,
Google hawakuunda android bali waliinunua.
Google walipanga kuizindua android mapema kabisa.
Lakini baada ya apple kuzindua iphone ya kwanza iliwalazimu google kurudi tena maabara na kuanza tena upya kuimodify android.
Android ilizinduliwa baada ya miezi kumi tangu iphone kuzinduliwa.
Baada ya hapo Thermonuclear war ilianza.
1. Iphone ilianza kuzuia apps za google app store wakitaka wapunguze kutengeneza apps zinazobase sana kwenye muundo wa web apps(apps zinazoitaji internet)
2. Makampuni ya simu yanayotumia android os yalianza kushtakiwa, waathirika wakubwa walikuwa ni Samsung na motorola.
Apple walidai kuwa samsung imekopi design yao, cheki hii picha.
Ukiinglalia android ya mwanzo kabisa zina utofauti sana kiasi cha unaweza ukadhani ni os tofauti kabisa.
Hivi ndivyo android os ya mwanzo ilivyokuwa, nani aliwahi tumia hii?
Mi kitu kimoja ninachojua, hakuna kitu kipya watu wanaekeza na kufanya maboresho ya bidhaa kuendana na mahitaji ya wateja, lakini kwa kutazama hizo os kulikuwa na ulazima wa jobs kutaka kuikazia google kiasi hicho je android ingekuwa maarufu hivi kama job angekuwepo.