Je, msimamo wa Steve Jobs kwa android ulikuwa ni sahihi? (ijue Thermonuclear war)

Apple ni kamapuni inayojiendesha kwa hypes, bila vitu kama hivi kujisifia, kutengeneza drama za hapa na pale hii kampuni haijakamilika.

kuna hii website mkuu inaitwa gsmhistory, ni nzuri sana kuangalia historia ya simu, na muanzilishi wa hio website ni katika watu walioshiriki kutengeneza GSM, hivyo na yeye ni part ya evolution ya simu,
Home Page

kitu pekee ambacho Job anaweza kujivunia ni kutengeneza browser nzuri ya simu, kitu ambacho kwa wakati huo opera mini na wenzake walikuwa wameshindwa, safari ilikuwa ni nzuri. ukitoa hivyo vilivyobakia vyote Apple wamecopy copy kila mahala.

na iphone ya kwanza hio ya 2007
1. haikuwa na store
2. huwezi kudownload apps
3. haina 3g
4. haina gps etc

kifupi haikuwa na sifa yoyote ya kuitwa smartphone, simu nyingi kipindi hiko zilikuwa advanced zaidi hasa simu za symbian na maemo/moblin

hii video ya maemo mkuu, os ya 2004 ambayo ni ya touch mpaka ikaja kuwa meego,


angalia hio os, angalia widgets, arrangement za notification icons etc utaona wote Android na Ios wamecopy wapi.
Dah umenikumbusha Nokia N900 yangu, Maemo ni bonge la OS, sijui walipotelea wapi, simu kama PC
 
Windows os ilikuwa mbaya Sana, sio user friendly
mkuu labda choice tu,window lilikuwa bonge la OS,hata hardware microsoft walijitahidi sana,shida nadhani haikuja wakati sahihi.

wakati kama huu ambao watu tunataka kuonja kitu kipya ndio alitakiwa billgate aachie hiyo kitasa,sio anahanagaika na macorona
 
Back
Top Bottom