apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Pamoja na kukaa kwake muda mrefu kwa miaka 25 na sasa anachukua ya kukamilisha 30 Bw. Yoweri Kaguta Mseveni. Ishara hii inaonyesha nini kati ya haya:
1.Kiongozi bora?
2.Waganda bado wanamhitaji?
3.Demokrasia makini?
4.Maisha mazuri? Ama
5.Uchakachuaji?
Je! wanaJF tumekosa cha kujadili juu ya huyu mtu ama ndiye Kiongozi wa kuigwa Barani Afika.
1.Kiongozi bora?
2.Waganda bado wanamhitaji?
3.Demokrasia makini?
4.Maisha mazuri? Ama
5.Uchakachuaji?
Je! wanaJF tumekosa cha kujadili juu ya huyu mtu ama ndiye Kiongozi wa kuigwa Barani Afika.