Je!Mseven ni kiboko cha WanaJF?

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Pamoja na kukaa kwake muda mrefu kwa miaka 25 na sasa anachukua ya kukamilisha 30 Bw. Yoweri Kaguta Mseveni. Ishara hii inaonyesha nini kati ya haya:
1.Kiongozi bora?
2.Waganda bado wanamhitaji?
3.Demokrasia makini?
4.Maisha mazuri? Ama
5.Uchakachuaji?

Je! wanaJF tumekosa cha kujadili juu ya huyu mtu ama ndiye Kiongozi wa kuigwa Barani Afika.
 
mods peleka hili bandiko kwenye international news please
 
Great thinkers hawaoni la kujadili kwani anaangukia mkondo mmoja na Hosni Mubaraka, Gaddaf na viongozi wengine wakongwe wa Africa. kwa hiyo tukishamjadili ambaye ni mbovu zaidi tuna m skip Mu7 kwa sababu naye yanamgusa
 
Pamoja na kukaa kwake muda mrefu kwa miaka 25 na sasa anachukua ya kukamilisha 30 Bw. Yoweri Kaguta Mseveni. Ishara hii inaonyesha nini kati ya haya:
1.Kiongozi bora?
2.Waganda bado wanamhitaji?
3.Demokrasia makini?
4.Maisha mazuri? Ama
5.Uchakachuaji?

Je! wanaJF tumekosa cha kujadili juu ya huyu mtu ama ndiye Kiongozi wa kuigwa Barani Afika.

Hivi wewe unaakili au makalio? Museven kitu gani bwana? Sembuse Mubaraki alochaguliwa kwa 80+% na bado amepigwa chini ndani ya miezi!..
 
Back
Top Bottom