MWAISEMBA CR
Member
- Apr 21, 2014
- 86
- 78
NAOMBA KUULIZA KUHUSU UMEME WA MSONGO WA KV 132 ULIOKUWA UMEPITISHWA PALE UBONGO TO MAKUMBUSHO?
Nilikuwa Nimeambiwa Ule mradi wa Umeme wa Msongo wa KV 132 uliokuwa unaanzia Ubungo to makumbusho Unafanya Kazi na unaendelea kupitisha umeme kama kawaida, ambao ulianzishwa na Serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete tangu Mwaka 2010.
Sasa Tangu wiki iliyopita Nimepita maeneo ya Ubungo ,Nimeona zile nguzo za Nyaya za umeme zilizopo maeneo yale zikitolewa kabisa
Sasa Swali langu, Kwanini Waondoe Nguzo na Nyaya za Umeme kwa mrardi Mkubwa ulioligharimu Taifa kwa Msaada wa Serikali ya Japan kwa karibu Sh Bilion 34/=⁉
Au kwasababu wanaweka Flyover maeneo hayo ya Ubungo❓
Je Ujenzi wa Flyover ndio unaharibu upatikanaji wa Huduma ya umeme huo uliokuwa unapatiwa kwa watu kama tulivyoambiwa❓
Je Pesa zote hizo Bilion 34 tumeamua Kuzichinjia baharini kwasababu ya Ujenzi wa Flyover hapo Ubungo❓
🔵 Na: Shujaa Charles Mwaisemba