shikamkono01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 566
- 1,783
kutafuta si kwa maana ya ligi haina udhamini bali yule title sponsor na nia ya kwanza ni kuleta tija,manufaa na thamani zaidi kwa wavuja jasho na kaa ukijua kuna mchakato unaendelea na makampuni makubwa ila bado hawajafikia conclusion so kama kiongozi hauwezi kusema kila kitu hadi jambo liwe limekamilika,ligi ya mwaka huu kwa udhamini uliopo tu inaweza kuchezwa na timu zisitaabike kama ilivyokuwa awali,mtendaji amezungumzia kumpata title sponsor na atapatikana tu nduguJana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana. Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam na zimebaki siku chache sana sasa sijui hao wadhamini kwanini hawakutafutwa mapema. Naomba mwenye CV ya huyu ndugu ili tujue mpira wetu upo salama ama.View attachment 1947063