Je, mpira wetu upo salama? Mwenye CV ya Almasi Kasongo

Kiukweli wadau mmetoa maoni yenu kwa kadri ya upeo na uelewa wenu,kiufupi Almasi Kassongo ni msomi mbobevu amesoma Udsm kwa degree ya kwanza na akajiendeleza kwa Masters nchini Uingereza,katika medani ya mpira yeye ni mdau mkubwa kwani ameuishi mpira tokea akiwa shule ya msingi Ilala akiwa anacheza timu ya shule na pia timu ya mtaani iitwayo African stars chini ya mwalimu nguli marehemu Edwin Mloka maarufu kama Father.

Baadae akachezea Fc Boom ya Ilala Bungoni na pia Pentagon Hotspurs a.k.a Msimbazi Rovers ambayo imeshiriki hadi ligi kuu miaka ya mid 2010-2020,Almasi ana sifa stahiki za kuwa katika nafasi anayoishikilia na kabla ya kuwa hapo ameshakuwa mwenyekiti wa DRFA na yote yanayotokea hauwezi kumuweka kando iwe +ve au -ve na unapotaka kuinyooshea kidole taasisi ebu toa lawama kwa uwajibikaji wa jumla na si kumlaumu mtu binafsi ama uwe na tatizo nae binafsi kwani hadi hatua hii bodi ya ligi ni sehemu tu ya Tff na haijakuwa na mandate yakuweza kufanya majukumu yake moja kwa moja.

Hivi unawaacha wote ktk suala la udhamini unamuattack Almas personal kwanini? Je hata huo udhamini uliopo kutoka taasisi mbalimbali mbona hamumpi kongore zake na mnapeleka direct kwa tff?

Tuache majungu penye haki tuipe nafasi yake na penye udhaifu tukosoe kwa nia ya kujenga na si mashambulizi binafsi,ni wakati gani toka ligi ya bongo uijue timu zimekuwa na uhakika wa kupata pesa kam msimu huu? Kasongo anatosha sana
Umeongea vizur ila kikawaida taasisi au kitengo fulan ata nchi na sehem nyingine ambazo zinakua kiongoz wa juu kama kutatokea tatzo au kasoro wa kwanza kubeba lawama ni kiongoz mkubwa kwa maana yeye ndio kioo cha wa chin yake kufanya vzur mawazo yake maona yake na mipango yake ndio ubora wa anachokiongoza sasa kama kuna tatzo au hakuna maendeleo maana yake yeye ameshindwa kuongoza au anaongoza kitu ambacho hana uwezo nacho kama unakata ceo wa bodi asilaumiwe kwa tatzo fulan alaumiwe nan wakat yeye ndio kiongoz
 
Ukiona makolo fc wanaparauna umu kumtetea mkuu wa kitengo chochote kwenye ligi yetu, ujue huyo mtu wana maslahi naye....Kasongo ni Kolo fc lialia yan.
 
tafuta CV ya Almas kaka na huo ukitengo una mahusiano gani na kuzorota kwa mpira? Jamani kuwa kitengo (kama ni kweli ulisemalo mie sijui) kunakuondolea uwezo wako wa kujua baya na zuri? Tff inajitahd kusaka wadhamini nia ikiwa wavuja jasho kunufaika na jasho lao na km ana kazi ya ziada je inaumizaje taasisi hii?
Mkuu kuhusu yule mzee wambura naweza kukubali mkuu ana kazi nyingne pale..😁😁,
Jamaa aingie nan pale tff yupo t na kwenye mpira kuna fitna kali sana na majungu,
Akiingia mtu wa kambi nyngne anasafisha wote anakuja na wake but jamaa kasurvive tawala zote kuanzia kwa mzee ndolanga,kaja tenga,malinzi na karia sasaiv,
Anabadilishiwa vitengo tu ..
Sjui siri iliyopo nyuma ya huyu jamaa ni nini,
Cauz hizo tawala zote zilivoingia kila mtu alikuja na safu yake mpya kabsa tena wanaingia kwa vita kali na kufungiana but mzee wambura always ana survive..
 
Umeongea vizur ila kikawaida taasisi au kitengo fulan ata nchi na sehem nyingine ambazo zinakua kiongoz wa juu kama kutatokea tatzo au kasoro wa kwanza kubeba lawama ni kiongoz mkubwa kwa maana yeye ndio kioo cha wa chin yake kufanya vzur mawazo yake maona yake na mipango yake ndio ubora wa anachokiongoza sasa kama kuna tatzo au hakuna maendeleo maana yake yeye ameshindwa kuongoza au anaongoza kitu ambacho hana uwezo nacho kama unakata ceo wa bodi asilaumiwe kwa tatzo fulan alaumiwe nan wakat yeye ndio kiongoz
sijakukatalia kuwa ktk uwajibikaji wa jumla kidole kitaenda kwa mtendaji mkuu wa taasisi lakini tuanzie hapo je bodi ya ligi ni independent? Je waweza kumlaumu moja kwa moja almar wakati uwajibikaji wao uko under tff? Wapewe total responsibility then ndio walaumiwe kwanini asitajwe Karia ambaye ndio baba na anatajwa almas? Leo watu wanawapongeza tff kwa kupata wadhamini wengi lakini kwanini pongezi hzo hawampi direct almas? Kwakuwa jibu ni yeye kwa wakati huu ni mtoto tu hajapewa full authority yakufanya mambo yake yenyewe,alafu tunaposema hakuna maendeleo je unapima ktk angle gani? Unajua hata utajiri kila jamii ina definition yake mfano jamii ya wafugaji wao utajiri wao ni kuona mifugo imetapakaa zizini na jamii ya wakulima kupata mazao mengi bila kujali watauza au wataloweka tembo wafanye masherehe tu na baadhi ya maeneo wao kushika cash mkononi so definition ya maendeleo ya taasisi kila mtu ana kipimo chake na Almas ni sehemu tu ya wajenzi tena ni kama saidia fundi
 
masikitiko sana jamaa anadhani Azam anafanya hisani au anasaidia tu kumbe nae yupo ktk kutengeneza pesa
 
Mkuu kuhusu yule mzee wambura naweza kukubali mkuu ana kazi nyingne pale..😁😁,
Jamaa aingie nan pale tff yupo t na kwenye mpira kuna fitna kali sana na majungu,
Akiingia mtu wa kambi nyngne anasafisha wote anakuja na wake but jamaa kasurvive tawala zote kuanzia kwa mzee ndolanga,kaja tenga,malinzi na karia sasaiv,
Anabadilishiwa vitengo tu ..
Sjui siri iliyopo nyuma ya huyu jamaa ni nini,
Cauz hizo tawala zote zilivoingia kila mtu alikuja na safu yake mpya kabsa tena wanaingia kwa vita kali na kufungiana but mzee wambura always ana survive..
sitaki kujikita ktk jambo nisilo na uhakika au ushuhuda nalo ila km ameekwa kimkakati na wenye mamlaka hyo ni juu yao na km amekaa kupika majungu itakuwa si vyema na Wambura amekuja pale mwaka 2011 na Angetile wala hakuwepo kipindi cha Ndolanga,walikuja utawala wa Tenga wale

IMG_20210922_155707.jpg
 
Jana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana.

Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam na zimebaki siku chache sana sasa sijui hao wadhamini kwanini hawakutafutwa mapema. Naomba mwenye CV ya huyu ndugu ili tujue mpira wetu upo salama ama.

View attachment 1947063
jibu lako umelipata?
 
Back
Top Bottom