Huku ni Tandale kwa Mkunduge........
Mtambuzi huoni lilivyofunikwa mpaka ulitafute na maandishi madogo sana may be nikatafute miwani yangu ya kusomea halafu kama limefanana na ukuta vile ndo maana silioniWe na wewe huna macho, ina maana hulioni kabisda hilo hapo mbele yako lipo dhahiri kabisa na bayana mbele ya macho yako....
Kwa kweli naona umekufa macho, hebu tafuta mawani kama haya yakwangu........
Mtambuzi acha utani hapa hakuna cha tangazo wala chai bora, hapa ni huyo dada
Lileee linaonekana kwa mbali .........
Hapa linaonekana kwa karibu kidogo.......
Hapa sasa ndio linaonekana kwa karibu zaidi............
CC: KakaKiiza, Asprin, Vin Diesel, jouneGwalu, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Mentor, mwekundu, Kaizer, Ruttashobolwa, Elli