majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 579
Umesema kweli, nakumbuka miaka ya 1990 chuo cha kitabibu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach kiliwahi kuzua kasheshe baada ya kuchukua mwili wa mtu aliyekufa sina uhakika kama ilikuwa ni Muhimbili kwa ajili ya wanafunzi kuufanyia utafiti, kama sikosei.
Jambo hilo liliandikwa kwenye vyombo vya habari kukazuka malumbano makubwa sana, hata siju yaliishia wapi.
Well said Mtambuzi,we truly need liberation,achana na mambo mengine,watu wafundishwe kufikiri vizuri.....Wabongo wengi tumekalia ushabiki,wasomi hawako serious na issues,wako serious na politics!!!Tunaacha vitu vya msingi kabisa ambavyo vitaleta ustawi wa jamii tunakalia kujadili ushabiki na kupiga soga ambazo hazitamsaidia mtoto atakayekuja kuishi miaka 200 baadae!!
Last edited by a moderator: