Je mnalijua shamba la miili ya watu…….?

Umesema kweli, nakumbuka miaka ya 1990 chuo cha kitabibu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach kiliwahi kuzua kasheshe baada ya kuchukua mwili wa mtu aliyekufa sina uhakika kama ilikuwa ni Muhimbili kwa ajili ya wanafunzi kuufanyia utafiti, kama sikosei.

Jambo hilo liliandikwa kwenye vyombo vya habari kukazuka malumbano makubwa sana, hata siju yaliishia wapi.

Well said Mtambuzi,we truly need liberation,achana na mambo mengine,watu wafundishwe kufikiri vizuri.....Wabongo wengi tumekalia ushabiki,wasomi hawako serious na issues,wako serious na politics!!!Tunaacha vitu vya msingi kabisa ambavyo vitaleta ustawi wa jamii tunakalia kujadili ushabiki na kupiga soga ambazo hazitamsaidia mtoto atakayekuja kuishi miaka 200 baadae!!
 
Last edited by a moderator:
naomba anwani yao, nikifa mwili wangu upelekwe huko

@Bujibuji.........

Unaweza kuwasiliana nao lakini kwa mfano kituo cha Chuo Kikuu cha Tennessee kimependekeza kwamba mtu yeyote anayetaka kujitolea mwili wake utumike kwa utafiti hatakiwi awe anaishi umbali wa maili 200 kutoka katika mji wa Knoxville nchini Marekani, mji ambao ndipo kilipo kituo hicho cha utafiti.

Anuani yao hii hapa:

Forensic Anthropology Center
Department of Anthropology


250 South Stadium Hall
Knoxville, TN USA
37996-0760


Phone: 865-974-4408
Fax: 865-974-2686
Email: fac@utk.edu
 
Oh yes,hapa ndipo wanadamu tulipofika.Mungu atuhurumie.Uovu na wema sasa haviwezi kutofautishwa.Mungu hawezi kuvumilia zaidi,kikombe kimejaa!
@Bujibuji.........

Unaweza kuwasiliana nao lakini kwa mfano kituo cha Chuo Kikuu cha Tennessee kimependekeza kwamba mtu yeyote anayetaka kujitolea mwili wake utumike kwa utafiti hatakiwi awe anaishi umbali wa maili 200 kutoka katika mji wa Knoxville nchini Marekani, mji ambao ndipo kilipo kituo hicho cha utafiti.

Anuani yao hii hapa:

Forensic Anthropology Center
Department of Anthropology


250 South Stadium Hall
Knoxville, TN USA
37996-0760


Phone: 865-974-4408
Fax: 865-974-2686
Email: fac@utk.edu
 
matatizo ya waafrica bado hayajafika huko kaka me coni hata haja wenzetu wamafanya vitu ahead of us,hata tukiwa na hao madaktari wananchi wenyewe wanaopewa vyandarua bure wanavulia samaki kuna litakaloenda???pili pesa kwa ajili ya uchunguz kama huo coz hyo ni research kubwa sana ambayo imepitiwa na kuhalalishwa hata na mashirika ya kimataifa,ukoloni mambo leoutaturuhusuu???
 
Hii kitu niliiona kwenye ZUKU CRIME! Yaani mtu inabidi uwe jasiri kuangalia maiti inavyotoa mafunza na huyo mtafiti anawakusanya bila hata kuvaa gloves au mask!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom