masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
- Thread starter
-
- #61
hahaaaaa!!!!!! hata sishauri yaani kumkopesha mpenzio ni sheeeeeedah mim nilizurumiwa hivhiv yan dah
LOVE for sale
^^
Me nakopeshana na mume wangu...Kwenye ndoa ndipo pazuri kukopeshana kuliko ktk uchumba...
Uchumba mkidaiana ndio ugomvi na kupelekea kuachana...Ila hakuna raha ya kukopeshana kama kwenye ndoa...
Sababu kila mmoja anakuwa anamajukumu yake katika nyumba so akichukua hela ambayo ilikuwa inabudget fulani unamdai na lazima akupe coz asipokupa kitu fulani hakitatekelezeka...Mnaoathirika ni nyote...so kila mmoja lazima asimamie jukumu lake liende vizuri... Hata akinuna atakuongelesha tuu wewe ni mkewe....
Mnapokuwa ktk uchumba au upenzi sababu hajui hela unaitumia kwa kitu gani muhimu basi ukimdai atakusimanga na kukununia...so unaamua kumpa tuu ili kulinda penzi lenu na kuepusha ugomvi...
ita polisi mnaandikishana unapiga paspot una attach na muhuri wa polisi unaacha faili polisi
MARANYINGI WAKIKOPA HAWARUDISHI...ILA UNATAKIWA URUSIDHE KWA STYLE,SIUMEMKOPA MILIONI LABDA MBILI.UHENDI STRAIGHT KUDAI.LABDA ALIKUWAIDI BAADA YA MWEZI.ukaona kimya unauchuna kama hamna kitu,then una mtusua baby embu nianzime milioni mbili na nusu kuna mzigo na taka kuchukua nimepelewa.akikupa ujue umerudisha milioni mbili yako na faida laki tano,then baada ya siku tatu unamrudishia laki tano yake.afuu unauchuna.kama muelewa atakuwa amejua.
Ahhha sijawahi kukopa asee ngoja nijaribu
Mm namkopesha wife lkn hajawahi kunilipa
hahaha nani akubali masai dada
Swala la kumkopesha Mwanamke halipo kama una uwezo mpe tu pesa anayohitaji kwa mapenzi yako, ila mwanamme akikopa pesa kwa mke au mpenzi ni lazima alipe hili halina mjadala.
Mimi mwanamke ninayeweza kumkopesha pesa ni yule tu ambaye uhusiano wetu ni wa kibiashara baasi.
kumkopesha mpenzi ni sawa nakujenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara chini ya utawala wa magufuli.
At your own risk! teh teh
Kuwa Mwanaume ni zawadi kubwa kutoka kwa Mungu tatizo wengine hamjui ni kwanini nyinyi ni wanaume.
Mke wako au mpenzi huwezi kumkopesha pesa bali unampa hata akitumia lugha ya kukopa ni kwamba anaogopa kukuomba pesa straigh ndio anatumia lugha ya kukopa.
itabidi unipe semina je mnagawanaje majukum
UWENDA NIKAVUTIKA KUINGIA KATIKA HIYO CHAMA
Nitamnjunja? You mean nitamkunja? Ama kunjunjaa???Hahahhh utamnjunja??
hivi hivi tu
wakati mi nataka na riba
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa
Mweh... Niliwahi kumkopesha mpnz baada ya muda kufika nikamdai, kwani nilirudishiwa?? ndio ukawa mwisho wa mapenzi.
Haiwezekani mtu akuombe hela kwa njia ya kukopa afu alete sababi ooh mbona mie nakupaga hela, kupewa ni tofauti na kukopa yakheee!!!
Hivi mpenzi wako akikukopa unampa?
Ushawahi, alikurudishia?
Kama akukurudishia ulimdaije? mimi nashauri tungekua tunatumia riba ili isicheleweshwe kurudishwa