Je, Mnajua tofauti ya mapenzi na mahaba?

Je, Mnajua tofauti ya mapenzi na mahaba?

"Mahabat" ni pale unapomnunulia vyoote hivyo vizuri naye anamhonga mwingine.

Sikuhizi mahabat ndio imetawala bongo.
Hahahaha hatari sana aisee.
Hii ni mpya kwakweli, ngoja tutaichambua zaid...
 
uchokozi ndo nilitunukiwaga digrii ya makwenzi toka nipo praimare!
sitakuwepo aseeee nilitamani at last!ila sipo dar! na sitaweza hata kuchomoka kazi za watu!
tugawane hako kasalio ka paye!
ila unafikir mi naamini sana basi!
ah magu nae kwani unafkr hashindwi kubadili gia angani!
Unisamehe nilitoweka ghafla jana nilipata dharura ya "kazi ya nje", basi nikaenda kuifanya ndio nimerejea asubuhi hii
 
Una point kiasi ila mkuu watu cku hizi wamebadilika yaani wamebadilika sana amna cha kanda wala bibi yake kanda watu wengi wapo kimaslai zaidi
 
Back
Top Bottom