Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,438
- Thread starter
- #21
Mkuu kabanga nipo kaka, naomba uniunge mkono kwenye hii makitu hapa chini......Mtambuzi habari gani kaka...??/
Botellón – Get Together ya WanaJF Ijumaa Tarehe 29 July 2016
Mkuu kabanga nipo kaka, naomba uniunge mkono kwenye hii makitu hapa chini......Mtambuzi habari gani kaka...??/
Asprin alishachukuliwa,cha kufanya nitake mimi mwaya!Asprin hebu njoo unipe mahaba yako
Uwa unampa husband face towel ya uvuguvugu?Mahaba ndo habare mapenzi yabaki huko huko moyoni yasaidie kusukuma damu.... Heshima yako Mtambuzi

Sasa utaweza kunipa anavyonipa?Asprin alishachukuliwa,cha kufanya nitake mimi mwaya!
Mkuu Mtambuzi Natamani niwepo lakini nahisi sitakuwepo Karibu Na Mji....!Mkuu kabanga nipo kaka, naomba uniunge mkono kwenye hii makitu hapa chini......
Botellón – Get Together ya WanaJF Ijumaa Tarehe 29 July 2016
Mahaba ni ku add value kwa mwenzi wako.
![]()
Kwa mfano wakati wanaume wanapenda kudekezwa kwa kufanyiwa vitu vidogo vidogo kama vile kuandaliwa nguo za kwendea kazini na chai kuwa tayari mapema na vitafunwa maridhawa. Wakirudi kazini wanapokelewa kama wana kijimzigo kwa bashasha, kusaidiwa kuvua nguo, kupewa face towel ya uvuguvugu kujikanda uso ili kuondoa vijikunyanzi vya stress za kazini na kuleta tabasamu. Kuandaliwa maji ya kuoga ya vuguvugu na baada ya kuoga kuandaliwa sharubati ya matunda au chai au kahawa kutegemea mapenzi yake, kuwekewa vijikaranga vya kutafuna au popcorn wakati anapoangalia TV, hivi vyote ni vikorombwezo vya mahaba.
Usiende mbali baki nami,ushanichanganya mwenzioCome this way baby.....
upo?Dah Mpwa hii picha imenirejesha mbali sana sana, dah daha kwanini nilifungua huu uzi saa hizi?? Dah haya tutaonana tarehe 29 Mungu akipenda
Nipo thana tu jana , juzi na leo hahahahahaaaa, nzuri kabisa aiseeeeupo?
za miaka?
enh babu a uwe unatuletea vitu kama hivi angalau urudishe na kale kastyle ka kutuita kwa baragumu!snowhite leo nimekutoa pangoni, nimejikuta na upweke wa ajabu baada ya kutowaona wakongwe jukwaani, naamini huu uzi wa mahaba utawaibuwa huko walipo
ahahahahahahha huachi visa mpwa!Nipo thana tu jana , juzi na leo hahahahahaaaa, nzuri kabisa aiseeee
Hahahahahaaha acha uchokozi bana, utakuepo keshokutwa?? Lazima niwepo maana najua ndio salary ya kwanza ya Magu yenye punguzo la PAYEahahahahahahha huachi visa mpwa!
uchokozi ndo nilitunukiwaga digrii ya makwenzi toka nipo praimare!Hahahahahaaha acha uchokozi bana, utakuepo keshokutwa?? Lazima niwepo maana najua ndio salary ya kwanza ya Magu yenye punguzo la PAYE