Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
Japo mi si 'mmoja wao' lakini ningekuwa motivated zaidi kama ningejua hiyo 'zawadi' uliyonayo ni ipi?Eti wewe
Matawi ya juu na matawi ya majuu. CCM walifungua tawi la chama chao uingereza. CUF nao walifungua. CHADEMA nao wanamawakala wao. Sheria ya vyama iko kimya kuhusu matawi haya. Lakini sheria inaruhusu chama kuwa na makundi ya nje ya wananchi wa tanzania yanayokiunga mkono chama. Maswali yangu kwa watanzania wa nje: Je, mnahitaji matawi ya vyama vya siasa vya Tanzania huko mlipo? Kama ndio; yaanzishwe kwa mfumo na utaratibu gani? Na je; yafanye kazi gani za kisiasa? Nauliza haya kwa kuwa wengi mnaonyesha mnaguswa na hali ya taifa ilivyo ilihali nyinyi ni wachangiaji wakubwa wa pato la Tanzania kwa fedha mtumazo kutoka huko mlipo. Na inaelekea wengi wenu mnataka kuwa wadau wakuu wa uchaguzi 2010. Nawaombeni mjadili maswali haya kwa kina. Atakayechangia vizuri zaidi nitampa ile zawadi niliyonayo....
Asha
MMhm kaazi kweli kweli..Eti wewe
Nawaombeni mjadili maswali haya kwa kina. Atakayechangia vizuri zaidi nitampa ile zawadi niliyonayo....
Asha
We ASHA wee!, usitake kutuchanginyi humu watu tukaanza kupigana vikumbo kugombania hiyo zawadi uliyonayo wewe kwa kugawa kama zawadi kuwazawadia watu humu...Eti l. Atakayechangia vizuri zaidi nitampa ile zawadi niliyonayo....
Asha
Pale wanapotokea binadamuJapo mi si 'mmoja wao' lakini ningekuwa motivated zaidi kama ningejua hiyo 'zawadi' uliyonayo ni ipi?
asante
Ni yule ambaye alikuwa sijui Waziri?We ASHA wee, usitake kutuchanginyi humu watu tukaanza kugombania hiyo zawadi uliyonayo...
P
No hawezi kuwa yule!, Yule alikuwa very strict, hagawi kabisa!.Ni yule ambaye alikuwa sijui Waziri?
Aseee ya siku nyingi hii thread!Eti wewe
Matawi ya juu na matawi ya majuu. CCM walifungua tawi la chama chao uingereza. CUF nao walifungua. CHADEMA nao wanamawakala wao. Sheria ya vyama iko kimya kuhusu matawi haya. Lakini sheria inaruhusu chama kuwa na makundi ya nje ya wananchi wa tanzania yanayokiunga mkono chama. Maswali yangu kwa watanzania wa nje: Je, mnahitaji matawi ya vyama vya siasa vya Tanzania huko mlipo? Kama ndio; yaanzishwe kwa mfumo na utaratibu gani? Na je; yafanye kazi gani za kisiasa? Nauliza haya kwa kuwa wengi mnaonyesha mnaguswa na hali ya taifa ilivyo ilihali nyinyi ni wachangiaji wakubwa wa pato la Tanzania kwa fedha mtumazo kutoka huko mlipo. Na inaelekea wengi wenu mnataka kuwa wadau wakuu wa uchaguzi 2010. Nawaombeni mjadili maswali haya kwa kina. Atakayechangia vizuri zaidi nitampa ile zawadi niliyonayo....
Asha
Hatari sanaNo hawezi kuwa yule!, Yule alikuwa very strict, hagawi kabisa!.
P
Unaposikia mtu hagawi kama pipi, hakuna hatari yoyote, na badala yake hatari ni kugawa kama pipi kuwatunukia watu zawadi kwa kuwazawadia ile kitu yake!.Hatari sn