Je, mlalamikaji anahaki ya kuanzisha kesi upya katika ofisi ya kata ilihali kesi ilishafika mahakama ya Wilaya?

Emmet

Member
Jan 18, 2019
82
168
Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika mahakama ya wilaya zaidi ya miaka kumi na sita iliyopita na hakuendelea nayo mpaka mwisho je leo anahaki yakufufua kesi hiyo katika ofisi ya kata?
 
Hukumu ilitoka? Kama ikitoka na unaona hukutendewa haki kuna nafasi ya rufaa kisheria.. Kama hukumu haijatoka kesi bado ipo HAIFI
 
Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ili hali kesi ilisha fika mahakama ya wilaya zaidi ya miaka kumi na sita iliyopita na hakuendelea nayo mpaka mwisho je leo anahaki yakufufua kesi hiyo katika ofisi ya kata?
Kiufupi haiwezekani kabisa!!kesi ikishafika mahakama ya juu, huwezi tena kuirudisha mahakama ya chini yake.

Harafu kwa sasa mabaraza ya ardhi ya kata hayana tena mamlaka ya kisheria kusikiriza kesi za migogoro ya ardhi, ila wao wanachoruhusiwa kufanya ni kusuruhisha tu, na iwe ndani ya siku 30 tu, mkishindwa kuafikiana mnaenda baraza la ardhi na nyumba la wilaya.

Serikali imefanya jambo la muhimu sana, kwani hawa wazee walikuwa hakuna kitu kabisa kwani sheria hawajui kabisa, ndio waamue mashauri ya kisheria.
 
Kesi ilianzia mahakama ya mwanzo akashindwa akaenda mahakama ya wilaya wakati kes inaendelea mahakama ya wilaya mwenyekiti wa mtaa ambae alikua ni jirani yetu akatu shauri kwann tusi yamalize, tukayamaliza sasa baada ya miaka kumi na sita jamaa kaingiwa tena na tamaa kaenda kata kufufua kesi upya kama vile haikuwahi kufika mahakama na jumatano tumeitwa kata je huko kata tunapaswa kuwapa jibu gani?
 
Kesi ilianzia mahakama ya mwanzo akashindwa akaenda mahakama ya wilaya wakati kes inaendelea mahakama ya wilaya mwenyekiti wa mtaa ambae alikua ni jirani yetu akatu shauri kwann tusi yamalize, tuka yamaliza sasa baada ya miaka kumi na sita jamaa kaingiwa tena na tamaa kaenda kata kufufua kesi upya kama vile haikuwahi kufika mahakama na jumatano tumeitwa kata je huko kata tunapaswa kuwapa jibu gani?
Njoo Pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi ilianzia mahakama ya mwanzo akashindwa akaenda mahakama ya wilaya wakati kes inaendelea mahakama ya wilaya mwenyekiti wa mtaa ambae alikua ni jirani yetu akatu shauri kwann tusi yamalize, tuka yamaliza sasa baada ya miaka kumi na sita jamaa kaingiwa tena na tamaa kaenda kata kufufua kesi upya kama vile haikuwahi kufika mahakama na jumatano tumeitwa kata je huko kata tunapaswa kuwapa jibu gani?
Kwaio mliyamaliza nje ya.mahakama na sio mahakama aliyokatia rufaa haijatoa uamuzi?
 
Back
Top Bottom