Emmet
Member
- Jan 18, 2019
- 82
- 168
Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika mahakama ya wilaya zaidi ya miaka kumi na sita iliyopita na hakuendelea nayo mpaka mwisho je leo anahaki yakufufua kesi hiyo katika ofisi ya kata?