Je, mke wangu ananibaka?

"The past is a rich resource on which we can draw in order to make decisions for the future, but it does not dictate our choices. We should look back at the past and select what is good, and leave behind what is bad".Nelson Mandela<!
 


mwanaume habakwi kwa sheria za Tanzania labda kuzalilishwa kimapenzi
 

hivi unaakili zote wewe kaka? Mkeo anakubaka!!!! Khaaaaaa God forgive him, listen bro as long as she is u'r wife u hav to give her what she wants otherwise utakuwa unamtesa dada wa watu.
Mpe mkeo atakacho!
 
oh! huo ni ugonjwa mbaya sana kijana. tena una bahati umetoa taarifa hapa! pm namba zake haraka
 
Sijapata kufikiria mwanaume anayebakwa na mwanamke sex inaendeleaje...huu sio uongo uliopitiliza? Sasa tushauri nini?
 
mmahe we mzuri, ila jamaa mi simuelewi sasa alimuoa ambandike ukutani au sababumkewe siomzuri kama wewe.

Asante,labda alitaka amfanye maua! hadi anamuoa alimuona mzuri ,akampenda na wakaridhiana kuishi pamoja kwa shida na raha,leo eti anamlaghai,hana uhitaji, basi amwambie kua hadanganyiki ili bidada akajitafutie mwenye uhitaji apate raha za dunia!
 
asante kwa asante ila wengine wanagombana na wake zao hawapewi wengine wamevimbiwa duniahii tabu tupu.
 
yaani makosa ya ubakaji yanaendelea kuripotiwa kila kukicha! pamoja na adhabu kali kutolewa ila ubakaji bado umeshamiri.any way mfungulie kesi ya ubakaji tena ubakaji wa kurudia rudia.
 
siku nyingine akiwa anakubaka piga kelele majirani waje wakusaidie!
 
Unazingua Mwana...!!! Tumikia tu Ndoa! Ukijifanya hutaki kumtosheleza yatajitokeza mafundi ya kutosheleza hata awe wapi bila kujali anafanya nini atakuja kula mzigo, sihitaji kukwambia mkifikia hatua hiyo utachukuliaje.

Huyo mdada anakupenda kikweli, infact to me, she is a wife material...
 
hebu weka namba ya simu ya mke wako hapa,,,tukusaidie kumshauri direct
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…