mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz
Kulazimishwa na kulaghaiwa ni mambo sawa?kweli dada angu nakuwa sina uhitaji but nalazimishwa
Hayatuhusu. Kama huna mada kaa kimya. sio lazima kuandika kila kitu. Unataka ushauri gani? Mrudishe kwa wazazi wake. Acheni kuleta mada ambazo hazina mashiko. Mkome kabisa hii tabia ya kuleta mambo ya nyumbani kwenu hapa JF.
Bazazi hakubaliani na Mwanamalundi!Kwa nini akinya kuku sawa;Msaidie apunguze kunyanyaswa badala ya kumtukana na kumbeza.
Akinya bata kaharisha?
Kaka usipomridhisha mkeo ndio chanzo cha kuridhishwa na Baradhuli;Baradhuli atambikiri tiGO na kuchafua k#m@ qa mitombo ya hatari ya kufa mtu.
Kaa ufikiri vizuri na ujiandae qa kila hali hapo nyumbani.
Hakikisha unakula vizuri, unapumzika vizuri na kutoa dozi kali atakayomchosha siku saba.
Bazazi ni Bazazi!
this issue becomes very serious!
hivi we mwanamalundi unaishi sayari ipi maana kila liletwalo wewe halikuhusu tushirikishe basi ya huko sayarini kwenu
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz
mmahe we mzuri, ila jamaa mi simuelewi sasa alimuoa ambandike ukutani au sababumkewe siomzuri kama wewe.ulimuoa wa nini mtu huna uhitaji si kumtia majaribuni mwenzio huko. umejaribu kuongea nae kuhusu hilo?
lakini akili hazifanani na ndo maana kuna vichaa na mataahira,msilazimishe akili na uelewa viwe sawa,tunatofautiana sana viwango katika kila kitu msikiuke misingi ya utu halafu hii sio mada ni tatizo hili.jambo linakuwa rahisi ikiwa tu linayemkabili analimuduSuprise. Naishi katika sayari inayoitwa dunia. Hii tabia ya kuleta mada za kitoto humu ndani tunataka tuikomeshe kabisa. Kama huna cha kuandika, tulia, nyamaza kimya. Soma michango iliyoenda shule, ya akina mwanakijiji. Huyu mtoa mada ana-abuse muda wa watu wanaokuja kuchota elimu hapa. Narudia tena. Hii tabia ya kuleta mada za kitoto is getting very serious. Ikome mara moja.
cha vidudukindagateni