Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,876
- 2,654
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz
Hayatuhusu. Kama huna mada kaa kimya. sio lazima kuandika kila kitu. Unataka ushauri gani? Mrudishe kwa wazazi wake. Acheni kuleta mada ambazo hazina mashiko. Mkome kabisa hii tabia ya kuleta mambo ya nyumbani kwenu hapa JF.

Unaweza kumnshitaki kabisa na utashinda kesi. Nakushauri wahi haraka kituo cha polisi, andikisha jalada ili mwanamke wako aje kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Kama ukiwa na shida ya kupata shahidi, tafadhali nitafutemimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz