Je, Mkalimani hulipwa shilingi ngapi?

Huyo mtafsiri ni mtaalamu wa tafsiri ama mtafsiri tu?
Wakalimani hulipwa kwa masaa kama ni mkutano ama kikao na kwa siku kama ni ziara na wageni. Pia angalia uwezo wa hao wageni. Wanasema Watanzania "bajeti yako ni kiasi gani?" Mimi sidhani kama hilo swali ni zuri. Aombe 20000 kwa saa ikiwa ni kikao. Wameketi wanaongea hapa na pale.Kama ni Mkutano anakalimani moja kwa moja. aombe 50000 kwa saa. Ikiwa ni mchanganyiko wa mambo mengi kwa siku aombe 50000 hadi 100000. La msingi apime uwezo wao na uzito wa kazi asizidi 100000 kwa siku watamkimbia. Malipo yategemee huduma. Ikiwa ni biashara ama utalii rate huwa juu usd 50 kwa siku yaani 100000. Lakini kama ni kikanisa yaani kidini aombe hata 50000 kwa siku na 10000 kwa saa.Ushauri tu.
 
kwenye utalii au ngos wanalipa 45-55$ kwa siku. ila kama haujawai kufanya hii kaxi lazma upate refresher training la sivyo utachenka. kumbuja kuna interpretation na translation. usikubali kulipwa kwa kwezi. lipwa kwa siku inalipa sana
 
mkuu shukrani kwa maelezo ya kina.
Huyu atakuwa anaifanya hii kazi katika maeneo ya mgodini,kuwatafsiria wafanyakazi ambao wengi ni wanakijiji, atakuwa akitafsiri kiingereza kwenda kiswahili na muda mwingine lugha ya kiasili.
Ni full time job, kila siku anatakiwa awepo yaani hakuna mapumziko nadhani
 
mkuu hawa wanalipa kwa mwezi maana ni kazi ya muda mrefu kidogo
 
mkuu shukrani kwa maelezo ya kina.
Huyu atakuwa anaifanya hii kazi katika maeneo ya mgodini,kuwatafsiria wafanyakazi ambao wengi ni wanakijiji, atakuwa akitafsiri kiingereza kwenda kiswahili na muda mwingine lugha ya kiasili.
Ni full time job, kila siku anatakiwa awepo yaani hakuna mapumziko nadhani
Basi aombe kati ya usd1500 hadi 2000 kwa mwezi au aende kwa saaUSD 50 kwa saa.
 
Back
Top Bottom