Shobi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,401
- 4,371
mambo vip wakuu!
nimekumbuka kisa kilichoniumiza sana..
miaka iliyopita nilifaulu kupata kazi kwenye shirika la umma lakini ilikuwa mkataba.baada ya mkataba niliendelea kusaka ajira hapa na pale sasa nilifaulu kuingia practical moja maswali yalikuwa vizuri kabisa ila computers nilikuwa natumia ilikuwa na shida hivyo nikafeli hapo nakumbuka walifaulu wawili tu wiki hiyo hiyo kuna sehema nikawa nasubiria usajili na connection ilikuwepo sasa mapema nilienda mkumbusha mdau wa connection kwamba majina vipi akaniambia kuna mradi wapo busy nao nikaona sawa
Kumbe siku mbili mbele wakatoa majina lakin sikuchek maana nilipata ambiwa kuwa wako busy na mradi ilipita wiki moja nashtuka ngoja nicheki kwa google naona niliitwa interview na waliofauluwameitwa kazini daah niliumia sana mawazo yangu ilikuwa either wangetupigia simu au ujumbe mfupi nkampigia jamaa wa connection anasema mbona sikufatilia na yeye alikuwa busy hatari na ni kweli huwa yupo busy ilinuuma sana kila nikikumbuka isitoshe hali yangu ilikuwa imeyumba mno nilikuwa silali kabisa kila nikikumbuka matukio hayo tena ndani ya mwezi mmoja.
huwa naona nilikuwa mzembe sana nakujilaumu sana sana