Je, mimba itakuwa imetoka au bado?

Je, mimba itakuwa imetoka au bado?

kibenten

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
499
Reaction score
510
habarini wapendwa;

shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???

wenye ujuvi naombeni msaada wenu.
 
Labda hizo damu zilizotoka ndio mimba yenyewe,

Ngoja waje wajuzi wa mambo.
 
Rudi kwa huyo doctor kama kweli alikushauri hicho kitu kweli ila kama umeamua itoa mwenyewe pia nenda hospital ukapige mionzi
 
habarini wapendwa;

shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???

wenye ujuvi naombeni msaada wenu.

Hakuna mtu ataweza kukueleza kinagaubaga kuwa ni hali ipi kwa sasa ipo:
1: Mimba ipo
2: Mimba haipo

Hii inatokana na ukweli kuwa hili halipimwi kwa kiasi cha damu au damu imetoka kwa siku ngapi.

Kitu kinachoweza kuwasaidia kwenye hilo ni:
1: Ultrasound
2: Kipimo cha damu cha Bhcg kuangalia kama kunakungezeka na kwa kiasi gani.

NB: Ni vizuri kumshirikisha daktariwako mlieshauriana nae mwanzo, kwani ni wakati mgumu kukutana kinyumba na mwenzio ambaye ana kidonda chini ya mwezi mmoja🤔🤔

Wagonjwa kama hawa wanaohusisha mimba kuharibika/kuharibiwa hutakiwa kusimamiwa vyema na daktari husika mpaka mwisho wake.
 
habarini wapendwa;

shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???

wenye ujuvi naombeni msaada wenu.
Rudi tena kwa daktari, hila nadhani Inatakiwa pia anywe na antibiotics za vidonge
 
habarini wapendwa;

shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona kwa ndani,,sasa mimba ilikuwa na mwezi mmoja tukanunua zile dawa za kuitwa sijui MESO......., tulifata ushauri wote wa namna ya kutumia hiyo dawa,ila sasa damu imetoka siku mbili tu ikakatika ikawa haitoki tena ila tumbo linauma tu,sa sijui shida nini na najiuliza je itakuwa ilitoka au bado???

wenye ujuvi naombeni msaada wenu.
Rudi kwa wataalam wakakucheki upya waveryfy situation. Hawa memba wa jf wakiongozwa na secret file ni wapuuzi sana hawawezi kutoa msaada wwte zaidi ya porojo
 
Pole ndugu,
Suala si porojo, bali kila kitu husaidika kulingana na hali halisi. Ukitaka kufupisha sana baadhi ya taratibu utajikuta unaharibu zaidi kulingana na tatizo. Tuvumiliane.
 
Maswala ya kitaalam kama haya unadhani yanatatulika humu. Mtu mkweli atamwambia dada wa watu arudi hospitali akaveryfy situation. Acheni porojo zenu nyinyi msio fikiria madhara yanayoweza kujitokeza kwa uzembe.
 
Elewa unachofahamishwa, kwa maana hiyo nawe umetoa porojo.

Msaada ni maelekezo yanayoelekea kutatua tatizo kwa kufuata misingi halisi.

Michango iliyotolewa na wenzako si porojo ni mitizamo yao, ili mradi haijavunja misingi halisi ya njia za kutatua tatizo.
 
Huwezi kuweka porojo kwenye maswala ya afya ELEWA usiwe na kichwa kigumu. Dada ashauliwe kurudi hospitalini full stop.
 
Hongera, pumzika baadaye upitie jumbe zako na za wengine. Naona uko under pressure. Pole
20220701_184541.png
 
Hiyo mimba imetoka kaka! Tena imetoka kwa usalama mkubwa! Ukiona umetoa mimba af damu nyingi zinatoka sehem za siri tena kwa siku nyingi hiyo mimba haijatoka vizuri(incomplete).. imetoka tena vizuri kuwa na amani
 
Hakuna mtu ataweza kukueleza kinagaubaga kuwa ni hali ipi kwa sasa ipo:
1: Mimba ipo
2: Mimba haipo

Hii inatokana na ukweli kuwa hili halipimwi kwa kiasi cha damu au damu imetoka kwa siku ngapi.

Kitu kinachoweza kuwasaidia kwenye hilo ni:
1: Ultrasound
2: Kipimo cha damu cha Bhcg kuangalia kama kunakungezeka na kwa kiasi gani.

NB: Ni vizuri kumshirikisha daktariwako mlieshauriana nae mwanzo, kwani ni wakati mgumu kukutana kinyumba na mwenzio ambaye ana kidonda chini ya mwezi mmoja

Wagonjwa kama hawa wanaohusisha mimba kuharibika/kuharibiwa hutakiwa kusimamiwa vyema na daktari husika mpaka mwisho wake.
shukurani broo ntafanya ivo maana tulikuwa njia panda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom