Je Mh. Halima Mdee ameshaolewa?

Halima u tom boy unampotosha anapenda sana mambo ya kiume kuliko ya kike......ila siku hizi amebadilika kidogo naona anajiweka kike kike ila ukaribu wake na Ester Bulaya
 
kuna thread humu jamaa mmoja alisema halima ni hermaphrodite mbaya zaidi inayofanya kazi ni ya kiume, huyo anaetaka kumuoa inabidi afikirie mara mbili asije akaolewa yeye!!!
 
umechoka na maisha
 
Mimi namulizia Shyrose banji niliwahi kusikia Dating yake na Jafaria je kwa sasa hali ni vipi!? Na pata ukakasi sana na Type za hawa watu
Cc Ester bulaya
 
Niko Gizani mwenzenu!! wengine wanapotaja Halima Mdee, wengine Esther Bulaya mara Shyrose nimeshindwa kuunganisha doti
 
Kweli Halima ni bint mzuri sana,ila kwa aina na uoande wa siasa anazofanya inahitaji awe na mwanaume aina ya Trump ...Sasa labda bado hajapata
 
Mdee ni msela, anatakiwa kuendana na mwanaume msela mwenziyie, hao wastaarabu wanaotaka kuwa naye hawatendana.
Ukitaka kwenda sawa na Mdee shurti uwe msela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…