kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,442
Ana mchumba,hivi karibuni tu jamaa atachukua jiko jumla...Hajampenda sababu ni mbunge au amefuata pesa hata yeye yupo vizuri!
Sasa tufanyeje tukimjadili Bashite na vyeti feki mkuu anasema ni habari za mitandaoTumeishiwa ya kujadili hadi tuanze kujadili maisha ya watu?
Huu ni umbea, hii ni aibu.
Uchumi mbovu, elimu marehemu, maradhi na amasikini bado vinatushinda, Je ya watu tutayaweza?
Haya ni maneno ya kuongea MTU ambaye hana Ndugu wa kike na usiombe yakukuteYupoyupo tu hakuna wa kuoa yule miaka 39 menopause si imebakiza mwaka tu?
Aiseee!?Yupoyupo tu hakuna wa kuoa yule miaka 39 menopause si imebakiza mwaka tu?
Weka picha!Unataka uwekewe picha ndio uamini
Ukiwa mwalimu ukielimisha wengine si jambo baya!udhushi=uzushi
hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
Mwacheni binti yangu na maisha yake.Kwani uongo? Ushahidi upo wazi kabisa mpaka sasa ana miaka zaidi ya 40 hajapata hata wa kusuuza rungu
Safi kama familia ipo tayari basi tupo njiani!Ungetusaidia sana ss wanafamilia maana anasema haambiwi jambo. Ila kama uko tayari nitakuunganisha na wazazi wake uzuri kwao ni bunju sio same. Na mahari ni mkopo.