Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

Ndg wana jf tunapoliangalia suala la Dr kupata kiasi hicho lazima ukumbuke ilikua vipi yeye kuchukua fomu ya Urais maana alikwenda kuchukua ya ubunge kwao ila aliporudi ndo kibao kikawa kimegeuzwa na wenzake na si yeye na wakamwekea maazimio ya nini watamtendea asipokua Rais.So mpaka hapo hakuna la kumlaumu Dr na pia kazi anayoifanya ni kubwa kuliko hao wabunge maana wanaenda mjengoni na kulala mwisho wa siku wanapokea posho.
 
kulikuwa na haja muhimu ya kuweka hadharani posho za slaa, kwa sababu alikuwa anataka aongezewe zaidi. Hapo ndipo mbowe akaona bora atoe hadharani kwa makusudi ili tuangalie mkakati mwingine. Usiwe na pressure, kuna process ya kumuondoa slaa, ambayo inapikwa sasa hivi.

you are lunatic !
 
cdm ni upuuuuziiiiiii

Inaonyesha wewe ni wa chama cha magamba ndo wamekutuma, na sijui kama unaakili timamu au ni akili ya makamsi, na nafikili magamba wakulipa posho kubwa sana, ndo maana bado umeng'ang'nia gamba hadi ufe na gamba mwilini. shauri yako.
 
SLAA level ya raisi yule na zaidi... kumlipa mshahara kama mbunge wa kawaida ni kumdhalilisha kabisa... Apewe posho za maana azunguke nchi nzima ili magamba yawe rehani 2015... Naomba Slaa apewe zaidi mahela ili magamba yawekwe rehani zaidi na zaidi...[/QUOTE

kupewa posho haki yake.......lakini nchi zilizoendelea watu wanaingia kwenye haya mambo wakiwa na mitaji tayari.............Obama ,Bush, Clinton, NA WENGINEO WAMETOKA KWAO NA MITAJI YAO..........HATA KAMARI UNAENDA KUCHEZA UKIWA NA MTAJI........SIO KWASABABU ANAZUNGUKA MITAANI KUONGELEA MAGAMBA ATUMALIZIE PESA ZA CHAMA
 
Issue hapa ni kwa nini mshahara wa mtumishi wa chama uwe -pegged kwenye ule wa mbunge wakati kazi za utumishi wa chama ni tofauti na zile za mbunge? Hapa ndipo tunapotaka majibu ya kina lakini wajuaji wanaipotezea hoja hii!

Mkuuu Nadhani Hoja yako ndio inastahili kuelewa na wana JF sasa

Me nimekuelewa vyema hapo sasa watu wasilopoke tuuuu humu ndani oooh kamkaanga fulani watu wanaleta hoja na mtu katafakali na kajua hii Hoja inakwenda wapi na kweli ulichokisema ndicho hicho, watu wanapotezea hoja na kuzifanya za kisiasa zaidi
 
Back
Top Bottom