Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

Ofcoz, these are very serious allegations!

Indeed, the allegated have to come out and prove otherwise

Si tupo kwenye kaguzi za vyeti na elimu za kila mtumishi wa umma bwana?

Viongozi wetu wa ngazi za juu wote wawe mfano kwa kutoka na kuonesha uhalali wa viwango vyao vya elimu akiwemo Mbowe Freeman Aikael!!

What's wrong with that?


Indeed, the allegated have to come out and prove otherwise


No, No, No, No....the onus is yours to prove that PhD ile alidesa....Wewe ndiye uthibitishe siyo yule anayetuhumiwa.... If you defame somebody/one then you have to prove beyond reasonable doubt that what you have said and alleged is true and not otherwise....Taratibu na sheria zetu za nchi ndivyo zilivyo...nchi nyingine ni sawa, kwamba aliyetuhumiwa ni wajibu wake approve kuwa yaliyosemwa juu yake ni uongo....
 
Dr John Pombe Magufuli

5th President of Tanzania
Incumbent
Assumed office

5 November 2015
Vice President Samia Suluhu
Prime Minister Kassim Majaliwa
Preceded by Jakaya Kikwete
Minister of Works
In office

28 November 2010 – 5 November 2015
President Jakaya Kikwete
Preceded by Shukuru Kawambwa
In office
November 2000 – 21 December 2005
President Benjamin Mkapa
Succeeded by Basil Mramba
Minister of Livestock and Fisheries Development
In office

13 February 2008 – 6 November 2010
Preceded by Anthony Diallo
Succeeded by David Mathayo David
Minister of Lands and Human Settlements
In office

6 January 2006 – 13 February 2008
President Jakaya Kikwete
Succeeded by John Chiligati
Member of Parliament for
Biharamulo East and Chato
In office

November 1995 – July 2015
Succeeded by Kalemani Medard
Personal details
Born
29 October 1959 (age 56)
Chato, Geita, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM (1977–)
Spouse(s) Janeth Magufuli
Residence Ikulu, Dar es Salaam
Alma mater University of Dar es Salaam
Profession Teacher
Religion Roman Catholicism
Nickname(s) Tinga tinga (The Bulldozer)[1]
Twitter handle MagufuliJP
Military service
Allegiance
20px-Flag_of_Tanzania.svg.png
United Rep. of Tanzania
Service/branch National Service
Years of service July 1983–June 1984




AND THIS IS DR. JOHN POMBE MAGUFULI CV
JOHNMAGUFULI.jpg

JOHNMAGUFULI.jpg
DR John Pombe Joseph Magufuli was born on October 29, 1959. He holds a PhD in Chemistry from University of Dar es Salaam.He has been a Member of Parliament (MP) for three terms, that is 2010 - 2015, 2005 - 2010 and 2000 - 2005 and has been a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) since 1977.
He has held various ministerial positions and currently is serving as the Minister of Works, the position he took up since May 4, 2012 until October 30, 2015 Other ministries he has served are Fisheries and Livestock Development, Lands, Housing and Human Settlement Development.He had also worked as the Deputy Minister for Works. Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam.Dr Magufuli has also held various posts and he is currently the also Co-chair World Urban Forum with UN-HABITAT (III) since 2006 and a member of Tanzania Chemical Society from 1993 to date.He has authored various publications including: Mulokozi A. M.; Akwilapo, L.D.: Buchweishaija, J.; Magufuli J. P., and Kyobe, J. Securing the Mechanism of the Decomposition of CaCO3 by the Thermodynamics of the Reaction¿, East and Southern Africa Environmental Chemistry Workshop, pp 71-83, 1st 5th December 2003, Dar es Salaam.Magufuli, J. P., Funding requirements for the EAC Road network project the East African Community Roads Development partners Consultative meeting 29th 30th April, 2003 Arusha Tanzania.30 Apr 2003 Magufuli, J. P., (MP) PIARC First Delegate and Minister for Works of the United Republic of Tanzania.¿ Access to Mobility a basic Social Service, Special Trunk Roads project, Design and Build Tanzania model, XXIInd World Road Congress, 25 October, 2003 Durban, South Africa. 25 Oct 2003 Mulokozi, A. M., Kyobe, Magufuli, J. P. and R. Whitehead.A New Rate Equation for Solid State Decompositions and its application to the Decomposition of CaCo3. TCS Inaug.Conf. Proc., 11 - 16 July, 1999, p162 - 183. 16 July 1999 Magufuli, J. P., Background of the Mtwara Development Corridor Meeting of the head of States from Malawi, Tanzania, Zambia and Mozambique during the Rounding of the Mtwara Development Corridor, 15 December, 2004, Lilongwe Malawi.Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.
Follow us on Twitter @african_jam Like our Facebook page Africanjam.com

hii hapa
hivii fomfooo alimaliza mwaka gani vileee?... na shule ipi alimaliza hiyo fomfooo yake na ufauru wake.. kama arifauru.. yaayaa gettee... nene naulizaga tuhu
 
hivii fomfooo alimaliza mwaka gani vileee?... na shule ipi alimaliza hiyo fomfooo yake na ufauru wake.. kama arifauru.. yaayaa gettee... nene naulizaga tuhu
hahahaaaaa nimeona yayaaaa getee!!
 
Ofcoz, these are very serious allegations!

Indeed, the allegated have to come out and prove otherwise

Si tupo kwenye kaguzi za vyeti na elimu za kila mtumishi wa umma bwana?

Viongozi wetu wa ngazi za juu wote wawe mfano kwa kutoka na kuonesha uhalali wa viwango vyao vya elimu akiwemo Mbowe Freeman Aikael!!

What's wrong with that?
Nawashangaa wanavyotaka Magufuli akaguliwe ila Mbowe asikaguliwe
 
Wenye elimu africa hawa hapa....Orodha ya Marais 10 Kutoka Nchi za Afrika Wanaoongoza Kwa Kuwa na Kiwango Kikubwa cha Elimu


Orodha ya Marais 10 kutoka nchi za Afrika wanaoongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha elimu.

10) Ellen Johnson Sirleaf (Liberia)

Elimu: Master of Public Administration (M.P.Adm.), Bachelor of Economics (BEc), Associate Degree in Accounting (A.A.)

Ellen Johnson Sirleaf ni Rais wa 24 wa Liberia ambaye bado yupo madarakani hadi sasa. Amesomea katika vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo wa West Africa, Madison Business College. Alijiunga na Taasisi ya Uchumi Boulder, Colorado, mwaka 1970.


9) Faure Gnassingbe (Togo)

Elimu: Master of Business Administration (M.B.A), Bachelor of Business (B.B.A).

Faure Gnassingbe alipata elimu yake ya msingi na sekondari Lome, Shahada ya uchumi kutoka Paris nchini Ufaransa na MBA katika Chuo Kikuu cha George Washington nchini Marekani.



8) Robert Mugabe (Zimbabwe)

Elimu: Master of Laws (LL.M.), Master of Science (M.Sc), Bachelor of Laws (LL.B), Bachelor of Science (B.Sc), Bachelor of Education (B.Ed), Bachelor of Administration (B.A.A), Bachelor of Arts (B.A.)

Robert Mugabe amepata Shahada yake moja kutoka katika chuo cha Fort Hare nchini Zimbabwe. Shahada nyingine alizipata kwa kusoma chuo huria.


7) Ibrahim Boubacar Keïta (Mali)

Elimu: Master of Political Science (M.S.), Master’s degree in History (M.A.)

Ibrahim Boubacar Keita amekuwa Rais wa Mali kuanzia mwaka 2013. Amesoma vyuo mbalimbali Paris nchini Ufaransa, Bamako, Dakar nchini Senegal.



6) Dr. Ameenah Gurib (Mauritius)

Elimu: PhD in Organic Chemistry, Bachelor of Science in Chemistry (B.Sc.)

Dr. Ameenah Gurib-Fakim ni Rais wa Mauritius, amepata Shahada yake ya kwanza ya Chemistry kutoka Chuo Kikuu cha Surrey mwaka 1983 na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka katika Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza.



5) Dr. Mulatu Teshome (Ethiopia)

Elimu: Ph.D. in International Law, Bachelor’s Degree in Philosophy (B.Phil.)

Dr. Malatu Teshome amekuwa Rais wa Ethiopia tangu mwaka 2007. Elimu yake ameipata kutoka nchini China.


4) Alassane Ouattara (Côte d’Ivoire)

Elimu: Ph.D. in Economics, Master of Economics (M.Econ.), Bachelor of Science (B.S.),



3) Dr. Peter Mutharika (Malawi)

Elimu: Doctor of Juridical Science (J.S.D.), Master of Laws (LL.M), Bachelor of Laws (LL.B.),


2) King Mohammed VI (Morocco)

Elimu: Doctor of Law (J.D.), Master of Advanced Studies (M.A.S.), Bachelor of Laws (LL.B.)



1) Dr. Thomas Boni Yayi (Benin)

Elimu: PhD in Economics and Political, Master of Economics (M.Econ.)





Kwahiyo mumuache mbowe wetu maana hata hao pgd wenu hawapo kwenye orodha yeyote
...kumbe hata dunia inajua kuwa phd ya mheshimiwa ni ya chee bwerere huwezi ilinganisha na hao wengine waliozisotea kwa jasho jingi...
 
Hapa JF ni sehemu pekee ambayo anaweza kuitumia kuwaeleza watanzania na wafuasi wake juu ya elimu yake. Asikwepe kuwajibika
nakumbuka wakati wa kampeni mwaka jana pale kibaha alisema yeye alisoma kibaha secondary, lizaboni fanya upekuzi wako ututhibitishie hili.
 
Hakuna anayetakata atoe vyeti bali aende kwenye website ya bunge ajaze alisoma wapi na lini kama wafanyavyo wabunge wengine. Teh teh teh
kama maelezo yake yanaendana na kanuni za bunge inatosha
tuongeze matumizi ya akili zetu ili tuondokane matatizo. utafiti mwingene uje na matokeo ya kati ya 20 ni 1 tu kich....
 
Kama hana cheti mbona tuko wengi tulifeli tukarisiti, si alisiti tu kuwatuliza mtulie, maana huu mjadala ni wa muda mrefu.
Mi nafikiri aseme hadharani kuwa ikoje kwani kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani kuwa anazogolewa kila siku ni aibu. Hii ya kutembelea shule siyo si ishu kwa watu wanaoelewa ndiyo noma zaidi.
 
Back
Top Bottom