Je! "Mbawa" Kutoonekana Hadharani,Tuamini Ule Uzushi?

Je! "Mbawa" Kutoonekana Hadharani,Tuamini Ule Uzushi?

Ni muda sasa,Kwamba Mwamba haonekani kama ilivyokuwa ada!

Ni muda sasa tangu Mnyo-kaa anaonekana busy mikoani.
Bila mwenye- Ukuta wake,kama ilivyokuwa ada!

Kuna ki-uzushi uzushi kilitokea wiki mbili yapata sasa!

kwamba "Siha" ya "Mwamba" wa "Siha" imetetereka kidogo kutokana na hili tatizo la Utamu kuzidi mwilini( ambalo kwa sasa limekuwa tatizo sugu)na kupelekea In-Soil-Inn ya mwili kuzidi kiwango.

Je!
Ukimya huu ni Dalili za Ufundi wa "Mungu" au?

Muda ni Shahidi Mzuri na Muhimu.

Tuishi kwa kuombeana Mazuri Daima.

Wenye kujua mtatujuza sisi ambao ni maajuza!

Alamsikhi!
10101
Akabidhi kijiti kwa wengine sasa
 
Tangu shemeji Yako akununulie smartphone unaandika upuz tu
Tangu ushindwe kuchambua hoja.
Tangu ushindwe kujua uhuru wa Maoni.
Tangu ulipoamua kuwa Mfuasi wa Chama Cha Domo-kula-Asia.....

Lazima unawaza kwa kutumia viungo visivyostahili.
 
Tangu ushindwe kuchambua hoja.
Tangu ushindwe kujua uhuru wa Maoni.
Tangu ulipoamua kuwa Mfuasi wa Chama Cha Domo-kula-Asia.....

Lazima unawaza kwa kutumia viungo visivyostahili.
Mfuate bwana wako huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni badala ya kulialia hovyo hovyo humu. Kwani ni wewe wa kwanza kuwa mjane?
 
Waswahili husema Si vyema kuzungumza ukiwa na chakula mdomoni
 
Asali imezidi kipimo mpaka ikaleta madhara mwilini.
 
Tangu ushindwe kuchambua hoja.
Tangu ushindwe kujua uhuru wa Maoni.
Tangu ulipoamua kuwa Mfuasi wa Chama Cha Domo-kula-Asia.....

Lazima unawaza kwa kutumia viungo visivyostahili.
Mbona Wajane Wenzako Hawapigi Kelele.
Tafuta Bwana Mwingine .Acha Chuki
 
Kalambishwa Asali tamu anakula mabilioni ya kutosha, Je, gerezani alikuwa anakula chakula chenye usalama kiasi gani?
 
  • Thanks
Reactions: 713
Ni muda sasa,Kwamba Mwamba haonekani kama ilivyokuwa ada!

Ni muda sasa tangu Mnyo-kaa anaonekana busy mikoani.
Bila mwenye- Ukuta wake,kama ilivyokuwa ada!

Kuna ki-uzushi uzushi kilitokea wiki mbili yapata sasa!

kwamba "Siha" ya "Mwamba" wa "Siha" imetetereka kidogo kutokana na hili tatizo la Utamu kuzidi mwilini( ambalo kwa sasa limekuwa tatizo sugu)na kupelekea In-Soil-Inn ya mwili kuzidi kiwango.

Je!
Ukimya huu ni Dalili za Ufundi wa "Mungu" au?

Muda ni Shahidi Mzuri na Muhimu.

Tuishi kwa kuombeana Mazuri Daima.

Wenye kujua mtatujuza sisi ambao ni maajuza!

Alamsikhi!
10101
1667900749447.jpeg
 
duh et .....tatizo la Utamu kuzidi mwilini....... hulka ya kuchokonoa ya watu haijawahi mwacha mtu salama
 
Mfuate bwana wako huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni badala ya kulialia hovyo hovyo humu. Kwani ni wewe wa kwanza kuwa mjane?
Jibu hoja na Swali....

Je!
Hii nayo ni U-fundi wa "Mungu"

Acha kuropoka Ovyo!
 
Mbona Wajane Wenzako Hawapigi Kelele.
Tafuta Bwana Mwingine .Acha Chuki
Kamuulize Mungu juu ya "Ufundi" Wake mkuu!

Kila kiendacho pia hurudi!

Mkuki kwa Nyani,ila kwa Nguruwe?
Mliochinja na Kunywa muwe mkijua,Mungu sio Athumani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom