Je yanafaa kama lishe yenye virutubusho Bora? Na kama hayafai kwanini na inakuwaje yapo sokoni.
Nimebeba kuku WA kizungu na WA kienyeji kwakweli naona WA kienyeji anakosa ujazo na uzito alafu ni GHALI KULIKO huyu WA kizungu Sasa Niko njiani panda usiku huu , nahitaji kufanya maamuzi