mzee mbaya
Member
- Feb 7, 2017
- 33
- 28
Tupe mrejesho mkuu, kwenye fuel consumption Na Huduma zingine
iko kawaida tu mkuu ila sijakaa nayo sana niliweka sokoni nimerudi kwenye runx
Tupe mrejesho mkuu, kwenye fuel consumption Na Huduma zingine
😂😂😂Yani usikubali kupewa ushauri na mtu ambae hata haijui io crown.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ile Altezza ya 3S ina 220HP mkuu
Kuna 3S-GE hio ipo kwenye Altezza RS200 Z - Edition hio hua ni manual nadhani ndo 220 HP ila nadhani hio 3S-GTE ipo kwenye Celica3S-GTE ndio inagonga 220 horses.
Umechanganya mafile mazda axela. Haitumii rotary engine inatumia engine za kawaida zenye piston ... Sio gari zote za mazda zinatumia rotary engine ni matoleo mawili tu rx7 na rx 8Ndo hicho kinafanya niipende Mazda. Nilikua na Mazda Axela Sports cc 1490 ya mwaka 2006. Aisee power yake ilikua kubwa mno. Nlitoka axela nikachukua rx8. Axela mpaka sasa imenipa experience nzuri zaid
3sge in stock mwisho ni 207 hp ikiwa manual na Automaic ni 197hp, wewe unazungumzia 2jzge kwenye is300 ndio ina 220hpKuna 3S-GE hio ipo kwenye Altezza RS200 Z - Edition hio hua ni manual nadhani ndo 220 HP ila nadhani hio 3S-GTE ipo kwenye Celica
Kweli vipi ile iliopo kwenye Altezza Gita nayo si ina 220 hp?3sge in stock mwisho ni 207 hp ikiwa manual na Automaic ni 197hp, wewe unazungumzia 2jzge kwenye is300 ndio ina 220hp
Caldina pia.Kuna 3S-GE hio ipo kwenye Altezza RS200 Z - Edition hio hua ni manual nadhani ndo 220 HP ila nadhani hio 3S-GTE ipo kwenye Celica
Hakuna altezza gita yenye 3sge. Gita inakuja na 1gfe na 2jzge... Wewe umeona 2jzge ndio ina 217 -220HPKweli vipi ile iliopo kwenye Altezza Gita nayo si ina 220 hp?
Ni kweli mkuuIpo kwenye
Caldina pia.
Ndo hio gita yenye 2jz nilikua namaanishaHakuna altezza gita yenye 3sge. Gita inakuja na 1gfe na 2jzge... Wewe umeona 2jzge ndio ina 217 -220HP
Uchumi ukiwa vizuri huwezi kuona mafuta ni tatizo kwako ukizingatia gari unalipenda.kuna mtu nimeona anapost fb kuwa watu wana imani mbaya na hili gari & kuwa halili mafuta kama inavyodaiwa bali ni kawaida sana..
sasa sijui analipamba sababu amekuwa analitangaza la kwake tangu january & bado hajapata mnunuzi
Sawa mkuu,ndio maana CC zikawekwa tofauti kwa kila gari.Kwa gari kama Crown Athlete na ukubwa wote ule ukiweka engine ya cc 1500 ya TI unafikiri itaenda..!
Simply go Google mkuu...Athlete ina kilo ngp versus hiyo ti
Napenda hii gari sana...tupe data za uhalisia kibongo bongomm na FUGA tu hata iwe inabwia
Nimeuliza kwa kushangaa ulivosema kuwa haitatembea ...unazan gari huwa inatumia nguvu yake yote kutembeaSimply go Google mkuu...
Nimerudi hapa 2021 vp umeshanunua na kama umenunua tunaomba marejesho.sina hata baskeli ila maelezo yako nimeyapenda yaani nimeona kama nimenunua gari jinsi nilivyosoma comment yako mzee
Wewe unajua mkuu, elimu inahitajika hapa,nitakutafuta unipe mbinuWewe sasa ndio umeongea kitaalamu na kwa uzoefu. Kimsingi 4GR-FSE (Crown na Mark X) ni engine iliokuja ku replace 1JZ japo haiifikii kwa pulling ila imefanyiwa modification isile sana mafuta hata katika uendeshaji wa kawaida tu tofauti na ulaji wa 1JZ engine ilioko kwenye Brevis.
Kinachowaponza wabongo wengi ni poor car maintanance na poor driving skills. Economical driving watu hawazingatii wamekazana kusema gari flani ni 6 cylinder inakula wese. Kuna jinsi ya kuendesha gari sio ukishuka bumps unagandamiza mguu mpaka injini inavuma, taa zikiruhusu unabonyeza wese mpaka gia zikishift gari inastuka. Kwa uendeshaji mmbovu hata IST utaona inakula wese tu hamna namna.
Eco driving: Hakikisha mshale wa RPM hauvuki pale kwenye namba 2 kabla ya gear kuongezeka. Weka mguu taratibu kwenye pedeli ya mafuta hakikisha gari inaenda gear ya pili kiwepesi bila kuvuka zaidi ya namba 2 kwenye mzunguko wa engine. Hapo hata ukitumia V8 utaona haili wese!
Karibu mkuuWewe unajua mkuu, elimu inahitajika hapa,nitakutafuta unipe mbinu