tibe_j
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 794
- 1,069
Kwa mabadiliko haya umesomeka mkuuiko kawaida tu mkuu ila sijakaa nayo sana niliweka sokoni nimerudi kwenye runx
Kwa mabadiliko haya umesomeka mkuuiko kawaida tu mkuu ila sijakaa nayo sana niliweka sokoni nimerudi kwenye runx
Karibu mkuu
Tatizo mnakimbia bila mpangilio
Kwa carina ina hp ngap na kilo ngapi na crown ina hp ngap na kilo ngapi mpaka isitembeeSawa mkuu,ndio maana CC zikawekwa tofauti kwa kila gari.Kwa gari kama Crown Athlete na ukubwa wote ule ukiweka engine ya cc 1500 ya TI unafikiri itaenda..!
Sawa lakini unafikiri kwanini ikiwa hivyo haiandikwi 1.4L badala yake huwa ni 1.5L?
Hajui kwenye hesabu kuna makadirio hasa zikiwa kwenye decimal hiyo 1490 namba tisa ingekuwa chini ya 5 basi kidesimali ni 1.4 ikivuka 5 tu tayari ni 1.5.Hahaha we inaonekana ulikuwa mmbovu sana kwenye hesabu mzee
kuna jamaa yangu mmoja aliipost Prado eti injini ni 1hz dah ikabidi nimshtue arekebishe.Unajua madalali hawana information kamili wanajazana ujinga kwa hearsays za vijiweni kisha wanawasokota sana wanunuzi hahah utaskia inakula mafuta sana hio chukua yenye 4 cylinder. Kumbe hawajui kinachobwia mafuta sio idadi ya Cylinder ni ukubwa wa cylinder. Zinaweza zikawa 4 ila ni mizinga ya cylinder
Ukiwa sio mjanja wanakutia mkenge!
Hajui kwenye hesabu kuna makadirio hasa zikiwa kwenye decimal hiyo 1490 namba tisa ingekuwa chini ya 5 basi kidesimali ni 1.4 ikivuka 5 tu tayari ni 1.5.
Amezingua kweli yani😅kuna jamaa yangu mmoja aliipost Prado eti injini ni 1hz dah ikabidi nimshtue arekebishe.
Zina maanisha ukubwa wa Engine yani displacement!Izo cc :
1290
1490
2300
Na izo 1.4 ama 1.5L
Zina maana gani?
Rumion ina engine ya corolla, IST Allex na Raum ndio zina same engineMm watu nawashangaa sana aisee. Unataka kari kubwa halafu unakipato cha wasiwasi. Mm mnicheke sijui mnione maskini ama mjinga sijui. Gari yangu Passo 900cc hii huwa sijiulizi nakula misele ninavotaka, nazunguka nayo mikoa mingi tu na root nyingi ni za mwanza dar na mwanza moro na haijawahiniangusha, wanasema zinachemsha sijui, uongo mtupu maana mm huwa nikiiwasha saa 12 asubuhi naizima saa sita usiku dar na haijawahi iunilaza njiani, na hii nliyonayo ni ya 2 kununua
Nataka ni upgrade kwenye rumion.
Mm kamwe sinunui sira kwenye gari, kipa umbele changu ni fuel consuption, na upatikanaji wa spea. Nimeambiwa na mafundi rumion ina engine ya IST which I know IST ni gari ya siku mingi na ina spea mpaka bas
labda ulitaka kwa mahesabu ya karibu ulipoweka hiyo 1.5LIzo cc :
1290
1490
2300
Na izo 1.4 ama 1.5L
Zina maana gani?
Zina maanisha ukubwa wa Engine yani displacement!
Displacement inapimwa kwa cubic capacity (cc) ikiwa ni ujazo (volume) ya kila cylinder!
Ikumbukwe volume ya cylinder inapimwa katika Cubic Centimetres na piston huwa ndio zinadumbukia kwenye cylinder. Piston ikidumbukia kwenye cylinder (downthrust) nafasi inayoacha kwa ajili ya combustion yani mchanganyiko wa hewa na mafuta ndio inatengeneza hizo cc.
Ukiambiwa 1290cc maana yake kwa gari yenye piston 4 utagawa hizo cc kwa 4 ili upate hesabu ya kila cylinder ikiwa na piston ina ujazo wa kiasi gani. Mfano kwa hio engine itakuwa 1290/4 = 322.5
322.5cc ndio ujazo wa kila piston kwenye cylinder. Ina maana mafuta na hewa yenye ujazo wa 322.5cc yanaweza kuchomwa kwa mara moja.
Kadri engine inavyokuwa na CC kubwa ndio ambavyo uzalishaji wake wa nguvu unavyokuwa mkubwa. Ukubwa wa CC ni direct proportional na ukubwa wa piston na cylinder!
Mfano rahisi wa hichi nachokuelezea.
Bomba la sindano ya hospitali lina 5cc, hizi cc unaweza kuzipata pale ambapo utavuta ule mpira mweusi kwa juu kipindi unachotaka kunyonya dawa toka kwenye chupa. Nafasi iliopo baina ya ule mpira mweusi na mwanzo wa tip ya sindano ndio CC za hilo bomba.
Kwenye gari mfumo upo namna hio hio kunakuwa na piston na cylinder. Piston ikijivuta chini inaacha nafasi kwenye cylinder hio nafasi ndio inapima cc.
Kama hujaelewa na hapo tafta mganga ndugu yangu! Utakuwa umelogwa.
Tuvute subaru forester tu brVp wadau , tuvute crown au mme conclude vipi