Je, Makonda kavunja mwiko?

@FaizaFox ndio unaandika hoja mufilisi kiasi hiki? Du! Umeniangusha sana.

Anachokifanya Makonda ni kupiga umbea ili aonekane anafanya kazi na wenzake wanazembea wafukuzwe. Ndivyo alivyomfanyia Wilson Kabwe akasimamishwa hadharani na Rais bila kufuata taratibu za Utumishi.

Bahati nzuri juzi Waziri Mkuu Majaliwa kamshushua palepale.
 
Jamaa anatakiwa kwenda kidogo kwa babu au bibi akasalimie huenda kuna jambo haliko sawa huko kwao.
 
Ushujaa ni ishu kuwa proved na si vinginevyo ulishajiuliza iwapo atashindwa kuthibitisha hizo tuhuma hali itakuwaje kwenye vikao vya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa usipende kupongeza bila kuangalia madhara yatayopatikana mbeleni
 
Hapo kwa bibie FF anaweza akawa kamlenga baba wa taifa na azimio la Arusha.

Mkuu umengonga msumari, hicho kibibi lengo lake ni kumshambulia baba wa Taifa, kama ilivyo kawaida yake, alio andika hayana ukweli hata kidogo, in fact Kipindi cha mwalimu na azimio la Arusha hata police na wanajeshi waliitwa ndugu neno afande lilipotea.
 

mtazamo wenu
mashuleni
majeshi ya polisi

Teacher leo umepotoka:-
 
Kwahiyo Lema huwa halali? Umejuaje kuwa halali?
Nani kasema kuwa halali? Nimejuaje?? Mzima kweli wewe?? Soma comment yangu tena kisha kula ushibe utanielewa, usijaze tumbo tu, kula ushibe yawezekana una njaa ndo maana hujaelewa.
Kwa nini unaniuliza kitu ambacho sijakizungumzia mimi??
 
Alichofanya Makonda ni kujifunga mabomu na kupuliza kipyenga,wenye akili wamemuelewa.
 

..mimi simsikitii kamanda sirro.

..wakati mwingine anaegemea waziwazi upande wa CCM.

..Rejea wakati wa vuguvugu za
maandamano ya ukuta.

..sasa ndiyo maana Makonda amemzoea. Na hivyo kumchukulia na kumtendea kama mwanasiasa
mwenzake.
 
Mbona ile ya Mbowe ya kuhongwa 10 ml kwa wabunge wenu hukuchangia?
 
Huyo mtoto ametumwa kama kawaida yake anatumika! Anawaharibia wasifikirie au kulalamika wakikosa ma vyeo jeshini....ambayo yako wazi! Anatafutwa kanda maaarum mmoja awekwe palem...saasa utampitishaje? Tengeneza kashfa kwa anastahili ili akipewa mwingine lawama zisiwepo!! Namponegza sana alielaumiwa maana ana busara sana na ameshajua kuwa kuna watu wanamtuma kumvuruga!! Achana na siasa kabisa!! Awamu hii ya kanda maarum!!! Subiri uone ataewekwa pale....palipo wazi na pengine pale juu zaidi......atapotolewa kafara(sare geshi na lugumi).....time....tik tak
 
Azimio la Arusha -Nyerere [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kilembwe Bin Ajuza

Makondakta kawa Bi Mdogo wa GSM, kasilimu kimya kimya..
 
Unatoa tabasamu kwa mswahili mvivu asiyependa kufanya kazi? Wewe unafahamu chanzo cha vita ya majimaji?mjerumali aliwaletea wamatumbi mbegu za pamba walime ili wapate nguo.wakakataa kwamba kulima shambani ni utwana.
 
Makonda Hana Polite, inakuwaje mkuu was mkoa MTU anakuahidi rushwa halafu humkamatishi mayo Ili aadhibiwe. Makonda awataje waliomwambia watamhonga I'll wakamatwe mbona anaweka siri Kama vile uhalifu walioufanya kwake ni was ubakaji?
 
Salaam.

Hapa hatuongeleai wala hatuchambui kama kuna ukweli au uongo kwa aliyosema Makonda, hapa tunaongelea ile kuweza kutamka tu aliyoyatamka, kwangu mimi ni ushujaa tosha.

Sioni mantiki katika hoja yako hii.Kama ni hivyo unaweza ukamwita Lema naye ni Shujaa.
Kwa wanaokujua na kufatilia hoja zako lazima wajue kwa nini unachukia Jeshi la Polisi.
 
Rushwa polisi ni nafikiri wote tunafahamu hotuba moja ambapo walifiwa ns rushwa ikahalalishwa kama vihela vya vocha
 

Maoni kuntu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…