"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Hata mwaka wako wa kuzaliwa mbona ni hadithi. Ulipokua unazaliwa ulikuwepo au ulisimuliwa?. Una uhakika mwaka ulio ambiwa ulizaliwa ni halisi? Kila kitu tunakikubali kwa imani.