Je maji yalitokea wapi?

Je maji yalitokea wapi?

Hail the Prince,

"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."

Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
Ungekuwa unawasikiliza Walimu wako wa Sayansi na Jiografia badala ya kusugua na kuchoma wenzako na mbegu za ubuyu, wala usingeenda kutafuta majibu kwenye hizo hekaya za mashariki ya kati.....
 
Nauliza swali na wewe unaniuliza swali !!!!
Mkuu giza kwa jina lingine ni void ,ni kwa sababu ya kutohoa lugha ila kitu ni kile kile

Darkness is a lack of light. Void is a lack of anything. Voids are usually portrayed as darkness because they lack light as well as substance; however, a true void would appear as a color [darker than black] .

Void is Darkness, but not all Darkness is Void.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom