BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
cheating is a choice.....
Kama ni muamini kile kitabu cha masimulizi ya kale, kuna jamaa aliitwa Mfalme Suleiman. Ukikisoma utajua alikuwa na wake wangapi na michepz mingapi. Huyo Ibrahim msome pia alikuwa nao wangapi halafu kuja kwenye masimulizi ya Kiislam, Mohammad alikuwa nao wangapi? Halafu huo upumbavu wenu mnaojiita wakristo sijui mliutoa wapi wa mke mmoja
Ukiwa na mpnz mmmoja utakufa kabla ya mudaKama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu sio wabunifu hawajishughulishi wakiwa kwa bed mara wengine wanasema wapenzi wao sio wasafi wengine huenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna ule msemo kuwa mke anatakiwa awe malaya kwa mume wake lakini wengi hawafanyi hivyo.
Na wanaume wengi unakuta wanaogopa kuwaambia wapenzi wao ukweli wakihofia kuwakwaza au kukorofishana na wapenzi wao na wengine hata wakiambiwa hawafanyii kazi matokeo yake wazee baba wanatoka nje kutafuta kile alichoshindwa timiza mpenzi wake.
Sasa nini cha kufanya maana tokea enzi hii kitu ipo shida nini hasa nini suluhu ya kudumu ya hii kitu.
Je, kweli kuna mwisho wa michepuko? Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??
Na hapo ndio kuchepuka kunawadaidia baadhi ya wanawakekweli kabisa wanaume n wachache sana
Ewaaaa nimekunywa maji ya baridi na nimemalizia na kiporo kabisa.washa friji kunywa maji ya baridbroo hapo nakuja kulipia umeme
umenikumbusha neno lililohubiriwa kanisani jana [emoji23][emoji23]Hakuna binadamu aliyewahi kuishi maisha ya kifahari na kuwa na wanawake kibao kama mfalme Suleiman, lakini mwisho wa siku conclusion aliyotoka nayo ni hii hapa 'hakuna jipya chini ya jua, yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo, ni heri kumcha Mungu' kwa hiyo ndugu mleta mada kupata majibu ya maswali yako jikite kwenye hili hitimisho la king Solomom......
point taken inawezekana ila sio rahisiMaisha yafaa nini bila kula papuchi,,,kuna jamaa angu mmoja alipigwa kipapai na mchepuko,,akawa akienda kwa wife wake Jogoo hawiki..
Ile hali ilidumu kama mwezi hivi hadi pale alipopata unafuu,,, baada ya hapo alikuja na hitimisho kuwa "Maisha hayafai chochote kama huli papuchi ,,kwasabu aliwaza kujitoa uhai"...
Kuacha kuchepuka inawezekana lakini sio jambo rahisi ,,kwasababu pia uaminifu wa siku hizi ni kuacha kula wengine, ubaki na mmoja,,hapo awali ilikuwa uaminifu ni kula mmoja toka unaanza hadi unamaliza....
Huezi kutochepuka all the time,, hutachepuka for some time
Nitamjibu kwa Fact harafu atachagua.
Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana
Hapo kumbuka wanaume ni wachache na wanawake ni wengi hivyo kuchepuka kunaleta balance.
Ukifungua uzi utakutana na factsSiyo kweli!
mh ngoja tusakeKuna baadhi ya watu wamekuwa wakisema Eti idadi ya wanaume ni wachache kuliko wanawake lakini si kweli hata kidogo kwa mujibu wa takwimu na taarifa za UN.
Mwenye mashaka juu ya hilo atafute kujua zaidi ukweli kwa taarifa rasmi na sio za kienyeji na mitazamo.