Je, mahusiano bila mchepuko yanawezekana?

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,348
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu sio wabunifu hawajishughulishi wakiwa kwa bed mara wengine wanasema wapenzi wao sio wasafi wengine huenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna ule msemo kuwa mke anatakiwa awe malaya kwa mume wake lakini wengi hawafanyi hivyo.

Na wanaume wengi unakuta wanaogopa kuwaambia wapenzi wao ukweli wakihofia kuwakwaza au kukorofishana na wapenzi wao na wengine hata wakiambiwa hawafanyii kazi matokeo yake wazee baba wanatoka nje kutafuta kile alichoshindwa timiza mpenzi wake.

Sasa nini cha kufanya maana tokea enzi hii kitu ipo shida nini hasa nini suluhu ya kudumu ya hii kitu.

Je, kweli kuna mwisho wa michepuko? Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??
 
mke mmoja anachosha

raha uwe ni michepuko kadhaa,
unakinai huku, unahamia kule,
 
Kama ni muamini kile kitabu cha masimulizi ya kale, kuna jamaa aliitwa Mfalme Suleiman. Ukikisoma utajua alikuwa na wake wangapi na michepz mingapi. Huyo Ibrahim msome pia alikuwa nao wangapi halafu kuja kwenye masimulizi ya Kiislam, Mohammad alikuwa nao wangapi? Halafu huo upumbavu wenu mnaojiita wakristo sijui mliutoa wapi wa mke mmoja
 
Kuna wengine wana wake wa3 na bado mchepuko anao shida nn hasa
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu sio wabunifu hawajishughulishi wakiwa kwa bed mara wengine wanasema wapenzi wao sio wasafi wengine huenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna ule msemo kuwa mke anatakiwa awe malaya kwa mume wake lakini wengi hawafanyi hivyo.

Na wanaume wengi unakuta wanaogopa kuwaambia wapenzi wao ukweli wakihofia kuwakwaza au kukorofishana na wapenzi wao na wengine hata wakiambiwa hawafanyii kazi matokeo yake wazee baba wanatoka nje kutafuta kile alichoshindwa timiza mpenzi wake.

Sasa nini cha kufanya maana tokea enzi hii kitu ipo shida nini hasa nini suluhu ya kudumu ya hii kitu.

Je, kweli kuna mwisho wa michepuko? Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??
Hakuna nchi isiyokuwa na chama Cha upinzani. Hata china wanatamani ila basi tu.
 
Wanasema chakula kimoja kila siku huchosha.
 
Wanaume hatupendi mwanamke anayeenda disco, ila tukienda disco tukakosa wanawake tunachukia[emoji23][emoji23].

Ukweli ni kwambaaaa wanawake wengi ni mafundi sana kitandani. Wengi huhofia kuonesha ufundi wao kwa waume zao (hasa kwa wanandoa) kwa kuhofia kuonekana wahuni.

Akiwa fundi sana tunasema n malaya, akivunga kama gogo anakuwa mshamba[emoji16].

Ndo maana wanaume tuna ndevu
 
Hakuna binadamu aliyewahi kuishi maisha ya kifahari na kuwa na wanawake kibao kama mfalme Suleiman, lakini mwisho wa siku conclusion aliyotoka nayo ni hii hapa 'hakuna jipya chini ya jua, yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo, ni heri kumcha Mungu' kwa hiyo ndugu mleta mada kupata majibu ya maswali yako jikite kwenye hili hitimisho la king Solomom......​
 
Sawa kabisa mtumishi
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu sio wabunifu hawajishughulishi wakiwa kwa bed mara wengine wanasema wapenzi wao sio wasafi wengine huenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna ule msemo kuwa mke anatakiwa awe malaya kwa mume wake lakini wengi hawafanyi hivyo.

Na wanaume wengi unakuta wanaogopa kuwaambia wapenzi wao ukweli wakihofia kuwakwaza au kukorofishana na wapenzi wao na wengine hata wakiambiwa hawafanyii kazi matokeo yake wazee baba wanatoka nje kutafuta kile alichoshindwa timiza mpenzi wake.

Sasa nini cha kufanya maana tokea enzi hii kitu ipo shida nini hasa nini suluhu ya kudumu ya hii kitu.

Je, kweli kuna mwisho wa michepuko? Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??
Suluhisho ni kufungiwa Spidi Gavana na Yesu. Yesu hakuja duniani kuzurura. Alikuja akijua kuna mambo kwa uwezo wetu tutakwama.
 
Wanaume hatupendi mwanamke anayeenda disco, ila tukienda disco tukakosa wanawake tunachukia[emoji23][emoji23].

Ukweli ni kwambaaaa wanawake wengi ni mafundi sana kitandani. Wengi huhofia kuonesha ufundi wao kwa waume zao (hasa kwa wanandoa) kwa kuhofia kuonekana wahuni.

Akiwa fundi sana tunasema n malaya, akivunga kama gogo anakuwa mshamba[emoji16].

Ndo maana wanaume tuna ndevu
Hatari sana ila wa kuvunga utamjua tu mtu hawez acha asili yake kabisa
 
Back
Top Bottom